Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,883
- 1,465
- Thread starter
- #21
agiza kitimoto mkuu utazima aiseeeee
Mie Nipo Na Nyagi Hapa Taratiiibu
Nyaagiii,, safiii.. No kitambi no stress.
ngano ni haramu?
HARAM ni wewe unayechagua dhambi haunywi bia lalkini wewe unaendekeza ushoga
nimekula kitimoto mkuu nilikua na Faizerfox na makame