Recent content by CHAGANA

  1. C

    Ombi: Rais Samia ikikupendeza futa Waraka Na 1 wa mwaka 2015 kutoka kwa Mkuu wa Utumishi wa Umma

    Ikumbukwe CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi. Waraka unaopana kundi moja na kuacha makundi mengine yawe huru kufanya siasa katika chama chao hicho hicho haufai hata kidogo. Mkuu wa utumishi anataka kuibadili CCM kuwa ni chama cha wakulima na wafanya biashara na wazurulaji kwa kuweka...
  2. C

    Mtaala wa elimu kuwasilishwa tare 6.2.2012

    Wanajamvi naomba kuuliza, hivi kilichotakiwa kuwasilishwa na Mh. Mbatia (Mbunge wa JK) tarehe 6.2.2013 katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni MTAALA (CURRICULUM) au MIHTASARI (SYLABI)?
  3. C

    Barua Kwa Rais Kikwete Kuhusu Mtwara

    Yote umenena lakini ukaharibu hapa "..............Tuwe waungwana kwani serikali inawajali sana. Sasa ukiwa na shamba la machungwa kule Muheza na soko la uhakika liko Dar ni lazima machungwa yaende Huko. Hivyo hivyo kuna soko kubwa la gesi Dar na la uhakika. Ni uendawazimu kulazimisha watumiaji...
  4. C

    Mtikila amemtaka JK atangaze Kustisha Mradi wa gas Mtwara mara moja Press Leo Traventne Hotel Dar!!!

    Yaani wewe haujui kiwanda kikijengwa mtwara kuna faida za moja kwa moja miongoni mwa wanamtwara? faida kv: wauzaji wa mbogamboga watanufaika na hao wataalamu maana watahemea ktk soko la mtwara, wafanyabiashara wa sokoni madukani watanufaika pia, kazi kv kufanya usafi, ulinzi, nk. kwa nini...
  5. C

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Huo ndio msimamo wa serikali! sasa hata kiti moto waislamu watafanya ibada yao ya kuchinja? maana huo ndio ustaraabu kulingana na wasira
  6. C

    JK: Nitapitia upya mikataba na kuivunja isiyo na tija kwa taifa

    :A S cry: Mbona wananchi wa Mikoa ya Kusini wanamsaidia kuhusu namna ya kushughulikia wapi mitambo ya kuzalisha gesi ijengwe lakini wanaitwa wapuuzi na yeye kakaa kimya zaidi ya kusema sasa basi na anaendelea kuthamini mawazo ya akina Muongo?
  7. C

    Sijamwamini SLAA..

    kwani wewe kama ulikuwa police na ukauacha huo upolice au ukafukuzwa na ukajiunga na wizi utaendelea kuitwa police? Dr. si padri tena ni mwanasiasa kwa sasa.
  8. C

    Dua na Tamko la Waislamu/wananchi kuhusu Gas Mtwara!!

    Wewe unachokielewa ni tofauti na madai ya wanantwara, wantwara wanadai gesi isisafirishwe ikiwa ghafi kutoka kusini hadi Kinyerezi eti ndipo iwe manufacured into bidhaa za gesi. Wanadai gesi iwe manufactured into bidhaa za gesi huko Mtwara na bidhaa hizo zitasambazwa nchi nzima hata nje ya nchi...
  9. C

    PICHA: Mkutano wa Waislamu Mtwara wakipinga gesi isiende Dar es Salaam (leo)

    Labda nimsaidie huyo sultani, watu wa ntwara wanachokitaka ni kutawanya uwekezaji wa viwanda katika nchi hii kwa kujenga kiwanda kikubwa cha kujengeneza malighafi ya gesi na kuwa bidhaa za gesi ntwara. Na hii itawavutia wawekezaji wengine kuja kuwekeza ntwara wakifuata hiyo bidhaa ya gesi...
  10. C

    Eti gesi izalishwe Ntwara Ibaki Ntwara...

    Sisi wamakonde kama unavyotuita tunachokijua baada ya gesi kuvunwa kutoka kule kwenye kina kirefu hadi Msimbati ambapo kutajengwa processing plant itakayo badilisha gesi kutoka katika hali ya mvuke (gaseous substance that can be liquefied by prssure alone) na kuwa kimiminika (liquid - that can...
  11. C

    Is this the end of CHADEMA?

    Sijui kama wewe mtoa mada unajua kinachodaiwa na wana Mtwara, wanachodai ni kujengwa kwa kiwanda cha kuchakachua gesi (yaani malighafi ya gesi) Mtwara na si Kinyerezi maana huko ndiko malighafi hiyo inakopatikana kama ilivyo kwa viwanda vya MINOFU YA SAMAKI kama ulivyotaja vipo Mwanza, Mara na...
  12. C

    Eti gesi izalishwe Ntwara Ibaki Ntwara...

    Labda ndivyo wanavyosadikishwa kuwa kuna mipango kabambe ya kuchimba na kujenga bandari kule Bagamoyo, ujenzi wa viwanda Bagamoyo, ujenzi wa barabara za rami kuunganisha Bagamoyo na njia kuu za barabara ziendazo maeneo mbalimbali, na eti kuna taarifa mara baada ya kujenga kiwanda cha kuchakachua...
  13. C

    Eti gesi izalishwe Ntwara Ibaki Ntwara...

    wewe mheshimiwa, si kwamba wanamtwara wanataka gesi izalishwe mtwara na ibaki mtwara, huo ni upotoshaji wa makusudi unaofanywa na viongozi wetu sijui ni kwa nia njema au mbaya. Ukweli ni kwamba wanamtwara wanataka kiwanda cha kuchakachua gesi (malighafi ya gesi) kijengwe mtwara na si kinyerezi...
  14. C

    Eti gesi izalishwe Ntwara Ibaki Ntwara...

    wewe mheshimiwa ufafanuzi ni huu, si kwamba wanamtwara wanataka gesi izalishwe mtwara na ibaki mtwara, huo ni upotoshaji wa makusudi unaofanywa na viongozi wetu sijui ni kwa nia njema au mbaya. Ukweli ni kwamba wanamtwara wanataka kiwanda cha kuchakachua gesi (malighafi ya gesi) kijengwe mtwara...
  15. C

    Eti gesi izalishwe Ntwara Ibaki Ntwara...

    Wewe mheshimiwa, si kwamba wanamtwara wanataka gesi izalishwe Mtwara na ibaki Mtwara, huo ni upotoshaji wa makusudi unaofanywa na viongozi wetu sijui ni kwa nia njema au mbaya. Ukweli ni kwamba wanamtwara wanataka kiwanda cha kuchakachua gesi (malighafi ya gesi) kijengwe Mtwara na si Kinyerezi...
Back
Top Bottom