Eti gesi izalishwe Ntwara Ibaki Ntwara...

Eti gesi izalishwe Ntwara Ibaki Ntwara...

Mleta mada unaonyesha una chuki binafsi Na wana Mtwara pia inaonesha ungetamani sana Hii itoke Kaskazini
Acheni ulafi
Mimi sitoki kaskazini. Natoka Morogoro. Kama una chuki binafsi na watu wa kaskazini mimi simo! Siku hizi watu furani mmekuwa wazushi wazushi sana. Kazi yenu kila siku kuanzisha vitu vya chuki tena vya kutunga. Au uongo?
 
Anawataka watu wa mtwara wasome wakati yeye mwenyewe hajui kuandika kweli mwendawazim hajijui, nimefurahi ulivyomchana pimbi mtoa mada
Wewe ambae hadi leo hujui madai ya msingi ya wana Mtwara ndiye HAUNA AKILI
 
Hilo siyo kosa. Hilo naliunga mkono hata mimi. Japo katika maandamano kuna mabango yaliyosema kwa nini gesi iende kwa nkwere?

Labda ndivyo wanavyosadikishwa kuwa kuna mipango kabambe ya kuchimba na kujenga bandari kule Bagamoyo, ujenzi wa viwanda Bagamoyo, ujenzi wa barabara za rami kuunganisha Bagamoyo na njia kuu za barabara ziendazo maeneo mbalimbali, na eti kuna taarifa mara baada ya kujenga kiwanda cha kuchakachua gesi pale Kinyerezi kutajengwa pipe-line kuelekea katika maeneo ya viwanda Bagamoyo na hata humu jf niliwahi yaona haya. Sasa na wao si wanaingia kwenye mitandao na wanayasoma haya kwa nini wasiandike hivyo kwenye mapango?
 
Ndio maana tangu mwanzo nilihisi kuna ujinga unaambatana na haya madai. Hivi ni nani aliwaeleza kuwa Kinyerezi kunajengwa Gas Processing Chamber? Nyie Wamakonde, ile ni Power Plant na sio uchakachuzi wa gesi. Hakuna mtu mwehu wa kusafirisha gesi ghafi toka Mtwara hadi Dar halafu aichukue baadhi yake tena na kuirudisha Mtwara.

Kile knachojengwa pale Kinyerezi ni Power Plant, (Mtambo wa Kufua Umeme). Ni kweli baadhi ya gesi itatumika pale kufua umeme. Hivi mnajua kuwa gesi ni hatari? Juu ya nini ikafuliwe Kinyerezi kwenye makazi ya watu?

Kazi ubishi tu hata Kiswahili chenyewe hujui. Sio CHUKALI sema CHUKARI. Usipende kutumia kiswahili kibovu humu JF
Kaka bora wewe uwaambie ukweli kuna watu wakiona maandamano wanaingia tu ilimradi yawe ya chama furani au kaitisha mtu furanu tena bila kutafakari.
 
Kaka bora wewe uwaambie ukweli kuna watu wakiona maandamani wanaingia tu ilimradi yawe ya chama furani tena bila kutafakari.


WAKO LIMBULUNGA KWELI...!!

HATA KUANDIKA KISWAHILI LUGHA YAKO YA TAIFA HUJUI,SEMBUSE MADAI YA WANA KUSINI UYAJULIE WAPI KALUBANDIKA??
:loco::loco::loco::loco:
:laugh: :laugh: :laugh: :laugh: :laugh: :laugh:
 
Ndio maana tangu mwanzo nilihisi kuna ujinga unaambatana na haya madai. Hivi ni nani aliwaeleza kuwa Kinyerezi kunajengwa Gas Processing Chamber? Nyie Wamakonde, ile ni Power Plant na sio uchakachuzi wa gesi. Hakuna mtu mwehu wa kusafirisha gesi ghafi toka Mtwara hadi Dar halafu aichukue baadhi yake tena na kuirudisha Mtwara.

Kile knachojengwa pale Kinyerezi ni Power Plant, (Mtambo wa Kufua Umeme). Ni kweli baadhi ya gesi itatumika pale kufua umeme. Hivi mnajua kuwa gesi ni hatari? Juu ya nini ikafuliwe Kinyerezi kwenye makazi ya watu?

Kazi ubishi tu hata Kiswahili chenyewe hujui. Sio CHUKALI sema CHUKARI. Usipende kutumia kiswahili kibovu humu JF

Sisi wamakonde kama unavyotuita tunachokijua baada ya gesi kuvunwa kutoka kule kwenye kina kirefu hadi Msimbati ambapo kutajengwa processing plant itakayo badilisha gesi kutoka katika hali ya mvuke (gaseous substance that can be liquefied by prssure alone) na kuwa kimiminika (liquid - that can flow freely but in constant volume) na kusafirishwa hadi Kinyerezi ambako ndiko kwenye plant itakayotumika ku-process hiyo substance (liquid) na kuwa gesi tayari kwa matumizi mbalimbali yakiwemo; nishati ya kupikia majumbani, nishati itakayotumika viwandani, nishati itakayotumika kuzalisha umeme, nk na makapi yake kutengenezwa mbolea. Sasa wewe mtaalam utusaidie kutufahamisha mara baada ya kufanya study ya kutosha na utufahamishe hilo pomba linalojengwa ni la kusafirisha nini? Je, gesi husafirishwa ikiwa katika hali ya mvuke (vapour) au kimiminika (liquid)?. Ukisha pata majibu ndipo sasa uje na hizo arguments zako. Pila jikite zaidi kwenye hoja na si matatizo ya kisarufi kama ulivyotitahidi kuainisha SUKALI ama SUKARI.
 
Mleta mada huna elimu labda umepita vyumba vingi vya madarasa bado hujaelimika watafute watu wakuelimishe tafadhali.....!
 
Wakuu katika kuzifatilia kwa umakini baadhi ya hoja za watu wa Ntwara a.k.a Samaki Nchanga a.k.a Uchiteme wala uchimung`unye., ukitema nchale ukimung`unya nchale,, a.k.a kunyima ntu kitu nnto. a.k.a Samaki nchanga nimeona kwamba baadhi za hoja zao hazina msingi. Wanaleta maandamano bila kujua msingi wa katiba yetu tuliyonayo sasa. Kwa katiba tuliyonayo sasa ni kwamba rasilimali zote ni mali ya taifa kwa pamoja hivyo hakuna cha Ntwara wala Lindi.

Kwa mfano dai la gesi kuzalishwa Ntwara na kubaki Ntwara mimi nalipinga kwa 100 percent kwani hakuna kitu kama hicho kwenye katiba. Hivyo kama wanantwara wanataka kuwa na nguvu na gesi yao wanapaswa kuungana na wazo la CHADEMA LA UWEPO WA SERIKALI ZA MAJiMBO KATIKA KATIBA MPYA IJAYO. Vinginevyo wananchi wa Ntwara watakuwa wanavunja katiba mchana kweupeeee!!! Wakamatwe haraka na kuchukuliwa hatua kwa kosa la kuvunja katiba.

Pia naomba kuwafahamisha watu wa Ntwara kuwa kama mnatakakufaidika na rasilimali zenu mnapaswa kichwani muwe fiti. Kwa mfano vijana wa Arusha baada ya kuona kuna utalii Arusha walijitahidi na wanaendelea kusoma kozi zihusuzo utalii na wamefanikuwa kuteka opportunities karibuni zote zihusuzo utalii.

Tumieni akiri vijana na nendeni shule mkasome. Matokeo ya Darasa la saba mwaka huu kusini mmekuwa wa mwisho kweli mtafaidika na gesi hii kwleli? Mimi nasema elimu elimu elimu. Kutokana na elimu ya juu waliyonayo Marekani Mafuta yanayozalishwa na waarabu ndiyo yanajenga Marekani, Dhahabu inayozaliswa shinyanga ndiyo inayojenga Mwamza, Tanzanite ya Manyara inajenga Arusha, Rubi na dhahabu ya Ulanga inajenga Arusha na ndiyi ilivyo kwenu, Gesi mliyonayo itajenga Dar.

N.B . Na hata 2018 inaposemekana China itashinda uchumi marekani bado wamarekani wataendelea kuishi standard life na kuendeleza ustarabu wao kuwazidi wachina.
Acha kutudharau wana kusini, Kufa Ulaya Mazishi Afrika we! sonofabitch !umejaza mavi badala ya ubongo,gesi haindi kokote,mtaisoma kaniki japo haina maandishi.UKANA SHILUNGO.
 
Kuelewa kabla ya kusema ndio kitu muhimu,gesi nyingi itasafirishwa nje kwenye masoko ya Japan,India,Korea,China,kwani Tanzania haijajipanga kutumia malighafi hiyo nchini. bonyeza hapa
East Africa
Wana Mtwara wanachotaka ni viwanda vitokanavyo na malighafi ya gesi vijengwe mtwara kuongeza kasi ya maendeleo. Hata huko gesi itakapopelekwa itatumika kusukuma uchumi wa nchi husika,na nchi makini hujitahidi sana kuuza finished products. Lakini gesi haipo mtwara pekee ipo sehemu chungu mzima,na inagunduliwa kila kukicha-:
Statoil Makes Gas Find In Tanzania
Kinachotakiwa sasa tupunguze jazba,itengenezwe sera mama ya Gesi.
 
Wakuu katika kuzifatilia kwa umakini baadhi ya hoja za watu wa Ntwara a.k.a Samaki Nchanga a.k.a Uchiteme wala uchimung`unye., ukitema nchale ukimung`unya nchale,, a.k.a kunyima ntu kitu nnto. a.k.a Samaki nchanga nimeona kwamba baadhi za hoja zao hazina msingi. Wanaleta maandamano bila kujua msingi wa katiba yetu tuliyonayo sasa. Kwa katiba tuliyonayo sasa ni kwamba rasilimali zote ni mali ya taifa kwa pamoja hivyo hakuna cha Ntwara wala Lindi.

Kwa mfano dai la gesi kuzalishwa Ntwara na kubaki Ntwara mimi nalipinga kwa 100 percent kwani hakuna kitu kama hicho kwenye katiba. Hivyo kama wanantwara wanataka kuwa na nguvu na gesi yao wanapaswa kuungana na wazo la CHADEMA LA UWEPO WA SERIKALI ZA MAJiMBO KATIKA KATIBA MPYA IJAYO. Vinginevyo wananchi wa Ntwara watakuwa wanavunja katiba mchana kweupeeee!!! Wakamatwe haraka na kuchukuliwa hatua kwa kosa la kuvunja katiba.

Pia naomba kuwafahamisha watu wa Ntwara kuwa kama mnatakakufaidika na rasilimali zenu mnapaswa kichwani muwe fiti. Kwa mfano vijana wa Arusha baada ya kuona kuna utalii Arusha walijitahidi na wanaendelea kusoma kozi zihusuzo utalii na wamefanikuwa kuteka opportunities karibuni zote zihusuzo utalii.

Tumieni akiri vijana na nendeni shule mkasome. Matokeo ya Darasa la saba mwaka huu kusini mmekuwa wa mwisho kweli mtafaidika na gesi hii kwleli? Mimi nasema elimu elimu elimu. Kutokana na elimu ya juu waliyonayo Marekani Mafuta yanayozalishwa na waarabu ndiyo yanajenga Marekani, Dhahabu inayozaliswa shinyanga ndiyo inayojenga Mwamza, Tanzanite ya Manyara inajenga Arusha, Rubi na dhahabu ya Ulanga inajenga Arusha na ndiyi ilivyo kwenu, Gesi mliyonayo itajenga Dar.

N.B . Na hata 2018 inaposemekana China itashinda uchumi marekani bado wamarekani wataendelea kuishi standard life na kuendeleza ustarabu wao kuwazidi wachina.

Umetumwa na nani upost hii thread??? Imejaa unafki tu, Kabla ya kupost fanya tafiti juu ya madai ya msingi ya kila kitu kinachopingwa na wanamtwara juu ya unyangányi huu unaotaka kufanya na SISIEMU dhidi yao. Kama GASI ni muhimu kwa maendeleo ya Tanzania basi Maendeleo ya wanamtwara yawe ya kipaumbele kabla ya hayo ya Tanzania kwa ujumla wake! Hakuna Hoja ya msingi ya kulazimisha GAS ifike dar then BWAGAMOYO Kabla GAS wanamtwara hawajanufaika nayo. LINDI na MTWARA kwa MIAKA 50 ya UTWAWALA WA SISIEMU ILIPUUZWA Kwa sababu wanazozijua wao, USAFIRI SHIDA, UCHUMI DUNI na achilia mbali miundombinu mingine, HAkuna Hospitali ya maana Kusini zaidi ya Hospitali za Kanisa, Leo Tunapata fursa ya kuwavutia watu waje kuwekeza Mtwara WATU kwa unafiki wenu mnatoa kauli zenu za kinafki kuwa ETI GAS IBAKI NTWARA. Ni wakati wakufumbuka na kuamka toka kwenye hilo lindi la usingizi uliolala.
 
Labda ndivyo wanavyosadikishwa kuwa kuna mipango kabambe ya kuchimba na kujenga bandari kule Bagamoyo, ujenzi wa viwanda Bagamoyo, ujenzi wa barabara za rami kuunganisha Bagamoyo na njia kuu za barabara ziendazo maeneo mbalimbali, na eti kuna taarifa mara baada ya kujenga kiwanda cha kuchakachua gesi pale Kinyerezi kutajengwa pipe-line kuelekea katika maeneo ya viwanda Bagamoyo na hata humu jf niliwahi yaona haya. Sasa na wao si wanaingia kwenye mitandao na wanayasoma haya kwa nini wasiandike hivyo kwenye mapango?

Kwenye mapambano ya ukombozi wanafki hamkosekani na shishangai kwa kauli zenu zilizojaa uzandiki. Hakuna kati yenu anayejua hasa shida za kusini na hasa nani kazisababisha kwa matakwa yake, Fumbukeni huu mpango ni wa unyonyaji na tuna taka shughuli zote zinazohusiana uwekezaji kwenye sekta ya GAS basi fursa zianzie mtwara kabla ya sehemu nyingine yeyote.
 
Mleta mada umekurupuka sana, hujui madai ya wana Mtwara
Hajui kabisa, tena hii ni hatari. Kama hujui kitu kaa chini utulie. Muulize mwenzako mbatia, athari za kukurupuka.

"Our view is that the various decisions taken by governments on how to harness the region's gas resources will boil down to a simple choice: wasting a valuable asset or monetizing its development benefits."

Contact the author, Velda Addison, at vaddison@hartenergy.com.
 
Sisi wamakonde kama unavyotuita tunachokijua baada ya gesi kuvunwa kutoka kule kwenye kina kirefu hadi Msimbati ambapo kutajengwa processing plant itakayo badilisha gesi kutoka katika hali ya mvuke (gaseous substance that can be liquefied by prssure alone) na kuwa kimiminika (liquid - that can flow freely but in constant volume) na kusafirishwa hadi Kinyerezi ambako ndiko kwenye plant itakayotumika ku-process hiyo substance (liquid) na kuwa gesi tayari kwa matumizi mbalimbali yakiwemo; nishati ya kupikia majumbani, nishati itakayotumika viwandani, nishati itakayotumika kuzalisha umeme, nk na makapi yake kutengenezwa mbolea. Sasa wewe mtaalam utusaidie kutufahamisha mara baada ya kufanya study ya kutosha na utufahamishe hilo pomba linalojengwa ni la kusafirisha nini? Je, gesi husafirishwa ikiwa katika hali ya mvuke (vapour) au kimiminika (liquid)?. Ukisha pata majibu ndipo sasa uje na hizo arguments zako. Pila jikite zaidi kwenye hoja na si matatizo ya kisarufi kama ulivyotitahidi kuainisha SUKALI ama SUKARI.

Projects PROJECTS UNDER EXECUTION FOR THE YEAR 2009
S/NOPROJECT NAMECOVERED AREASEXPECTED OUTCOMEFINISH DATESTATUS (%)
1Kiwira Coal to Electricity ProjectKyela,Rungwe and Mbeya DistrictsKiwira Coal -to- Power project involves expansion of the existing power facility, transmission line and the colliery redevelopment.20145%
2[h=1]Shinyanga - Buzwagi Gold Mine Transmission Line[/h] Shinyanga and Kahama (Buzwagi) DistrictsProject involves construction of 220 kV line from Shinyanga to Kahama and power supply to Buzwagi Gold Mine and later to Kahama town.200995%
3[h=1]Bulyanhulu - Geita Transmission Line[/h]GeitaProject involves construction of 220 kV line from Bulyanhulu to supply power supply to Geita Gold Mine and Geita Township.??5%
4Dar es Salaam Moshi Arusha Transmission and Distribution Reinforcement (TEDAP)Dar es salaam, Arusha and KilimanjaroTransmission and Distribution system Upgrade for Dar es Salaam, Moshi and Arusha in order to improve the electricity transmission and distribution network performance.201210%
5Musoma - Nyamongo Transmission lineMusoma (Rural & Urban) and Tarime DistrictsProject involves construction of 132 kV line from Musoma to supply power to North Mara Gold Mine.200950%
61 IPTL ConversionTegeta To convert 100 MW IPTL plant from using HFO to using natural gas.??2%
7[h=1]Tegeta 45MW Gas Based Power Plant[/h]TegetaTo generate power using natural gas to meet the growing power demands in Tanzania200980%
8New 400 kV Iringa – Dodoma – Singida – Shinyanga Transmission LineIringa, Dodoma,Singida and ShinyangaConstruction of New 400kV Iringa – Dodoma -Singida -Shinyanga Transmission line to strengthen the national grid system and allow future neighbor interconnectivity20135%
9Reinforcement of transmission and distribution facilities in oyster bay substationSam Nujoma and New Bagamoyo RoadsConstruction of 132kV Transmission line from Ubungo to New Oyster Bay substation at Makumbusho area.201110%
10Kinyerezi 240MW Gas Power PlantKinyereziTo generate power using natural gas to meet the growing power demands in Tanzania2013 2 %

Hiyo namba kumi ndio inahusu Kinyerezi. Kama kuna mradi mwingine unaoujua wewe mimi siujui.

Kuhusu matatizo ya kisarufi usiwe mjinga wa kukataa kujirekebisha. Jaribu kuwa bora zaidi kila siku moja inavyoondoka. Kujizoesha kuongea ndivyo sivyo ni kujizoesha kuongea ujinga. Mpaka unaandika utumbo ni dhahiri kuwa jamii inayokuzunguka haina utashi wa kukurekebisha, hapa JF umekutana na Mwana Mtoka Pabaya asiyependa uchafuzi wa lugha yetu, LAZIMA NIKUREKEBISHE.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ambae hadi leo hujui madai ya msingi ya wana Mtwara ndiye HAUNA AKILI

Anajua, ila anapotosha makusudi...huo ndiyo mkakati wao usio na kichwa wala ubongo!!
Cha ajabu hata raisi nae anaimba the same bropaganda za kijinga!! Wana Ntwara hawajawi kusema wanataka gesi iwafae wao tu...!
 
Kumbe kuna watu maboya sana humu jamvini....i ddnt knw,,kama huyu mwanzisha mada
 
Acha kutudharau wana kusini, Kufa Ulaya Mazishi Afrika we! sonofabitch !umejaza mavi badala ya ubongo,gesi haindi kokote,mtaisoma kaniki japo haina maandishi.UKANA SHILUNGO.
Muone huyu. Ndiyo watu ambao topic yangu inawahusu.
 
Kuna watu wenye misimamo tofauti kwenye jumuia zetu,kwanza kuna wale wanaofaidika na mfumo tulionao ambao viongozi wanajimilikisha raslimali zote za Uchumi na kuwaneemesha ndugu,familia na marafiki wa karibu,pili kuna wale ambao wanatafuta namna ya kufaidika pia na mfumo huo kwa maana kwamba wakipata nafasi lazima wajilimbikizie vya kutosha na tatu kuna wale ambao wako zaidi kwa ajili ya wanzania/Watanganyika maskini ambao raslimali hizi pia ni halali yao.Sioni msingi wowote wa mabomba hayo lusafirishwa mpaka Bagamoyo wakati Mkuranga ni karibu zaidi na huko Mtwara,pili kama kiwanja cha ndege kitajengwa Bagamoyo basi vitega uchumi vingine mikoa mingine ipewe kipaumbele.Siyo lazima Dar.Hata Tabora nilipo watahitaji gesi hiyo,na kama kila Mwananchi wa kawaida atapata gesi hiyo kwa bei nzuri yaani awe na uwezo wa kuinunua basi uharibifu wa mazingira utakuwa historia.

Kama Kahawa inaletwa Dar ikiwa imeshatayarishwa tayari kwa kunywa na siyo mali ghafi basi hata gesi tufanye hivyo.

Mikoa yote inahaki sawa,tuache siasa zitatumaliza tuwaachie watu wa kusini haki ya kumiliki kiwanda cha kusafisha gesi na gesi safi isafirishwa popote hata huku machakaoroni.Watanzania tuweke utaifa kwanza na siyo sababu Rais anatokea Bagamoyo basi vitega uchumi vyote vihamie Bagamoyo,hata Rais mwenyewe atumie akili kwa sasa mambo ya kulazimishana yamepitwa na wakati.
 
Gazeti la kiingereza halisomwi na mswahili,akilisoma tu basi fahamu kuwa ni wengi tu watakuwa upande wake.
Jamani fumbueni macho,hoja hapa si gesi ni namna Elimu ilivyo muhimu na kuikosa kwake kulivyo hatari kwa taifa.

Kwanza Gesi yenyewe ni hatari tu achilia mbali viwanda na umeme.Tusipende kushabikia vitu ambavyo kesho na keshokutwa vitakuwa na hatari kwetu na kwa majirani zetu.Hivi wewe ni nani ambaye unapinga amri ya Amiri Jeshi Mkuu?

Kutumiwa kubaya jamani. Kwenye gesi unajua kuna Amiri jeshi mkuu ila kwenye Mafisadi Amiri jeshi mkuu hayupo. Halafu aliyekwambia gesi hatari ninani wewe. Hebu acha ushamba. Hivi kati ya gesi na uranium kipi hatari.? Elimu gani mnataka kuwapa watu wa Mtwara? Siku zote mlikuwa wapi kuwapa elimu? Hebu acheni kutumiwa kipumbavu. Hivi kati ya watu wa mtwara na Simbachawene aliyesema Wawekezaji wang'oe mitambo ya kuchimba gesi mtwara, hapo nani anahitaji kupewa Elimu?
 
Back
Top Bottom