- Thread starter
- #21
Mimi nimesema (nimeshauri) kuwa mtu akipitishwa na Chama chake Kugombea hapo sasa ni halali aombe ruhusa ya bila malipo ili akajunadi kwa hiyo miezi mitatu.Lakini wakati wa michakato ya kura ya maoni ndani ya chama tena wiki moja ndo mtu alazimishwe kuomba ruhusa ya bila malipo ya miezi miwili? hii siyo sawa.Wao walifanyiwa hivyo na Hayata Nyerere, Mzee Mwinyi , hayati Mkapa au Mzee kikwete Kiukweli hayati Magufuli hakutaka ushindani.Inaonekana ni mzito sana kuelewa mambo madogo tu.