- Thread starter
- #21
Kwani sasa mitambo ya kuzalisha gesi iko wapi? Songea? Unajua sikuelewi! Loh!Ndugu naona unataka potosha ukweli, wanamtwara wanataka mitambo ya kuzalisha iyo gesi iwepo pale mtwara kwa iyo uzalishaji uwe pale mtwara and then usambazwe TZ yote tatizo liko wapi?