Recent content by chadibwa255

  1. chadibwa255

    Msaada:jini mahaba lilitaka kunibaka!!

    Mkuu umeulizia dawa wkt umeshaitumia tayari? Ulimtaja yesu jini likatoka maanake ndo dawa hiyo
  2. chadibwa255

    Ajira za walimu zimetoka

    Habari ipo ivo wakuu kama mnabisha ingieni kwenye tovuti ya wizara...hapa ni hesabu na sayansi tu......wa sanaa tukaimbe bongofleva
  3. chadibwa255

    Hongera Magufuli, uteuzi wa Polepole CCM umezingatia kutokulimbikiza vyeo

    Nani kakwambia polepole kaacha ukuu wa wilaya?
  4. chadibwa255

    Hivi kwanini kanisa limeruhusu ndoa za jinsia moja?

    Jamaa ulooleta mada hujatoa evidence za msingi ila umeonekana tu umelalamika kwa mihemko yako binafsi. Umesema makanisa ila hujasema ni nakanisa yepi, nadhehebu yapi na mifano japo ya nchi zilizofanya hivyo na ungefanya uchunguzi kidogo kujua wametumia biblia au miongozo ipi.. nextime njoo na...
  5. chadibwa255

    Kwanini Kiba hatumiki kwenye matangazo?

    Jamaa leo umekosa uzi na maana wa kujadil hadi unaleta pumba kama hizo?
  6. chadibwa255

    Ruby! sifa zimemponza

    Alooleta huu mkeka kazingua sana
  7. chadibwa255

    Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

    Jiulize pia wale wanamuziki wanaojiita makomando wapo kwenye rank ipi.....anyway komando ni kozi tu yaihusiani na rank yyt jeshini so hata private anaweza kuwa komando akienda kozi hyo.
  8. chadibwa255

    Kuna mambo ambayo siyo ya kawaida yaliyotokea leo kwenye sherehe za Uhuru wa Tanganyika.

    Kiujumla tu sherehe za mwaka huu hazikuwa na mvuto hata kidogo najuta kupoteza unit zangu kuangalia
  9. chadibwa255

    Kuna mambo ambayo siyo ya kawaida yaliyotokea leo kwenye sherehe za Uhuru wa Tanganyika.

    Mkuu nnavyojua mimi kuwa mwinyi ni raisi wa awamu ya pili tz bara. Ila ana asili ya visiwani ndo maana jamaa alisema vile.....kama nipo wrong nirekebishwe
  10. chadibwa255

    Serikali itahakiki vipi kuwa pembe hizo ni za Faru John na kwamba siyo za faru mwingine?

    Halafu hii habari ya john kufa imeibuka kama uyoga tu. Mbna hawakusema tangu alipifariki? Wameanza michezo yao ya midoli midoli hawa jamaa wanatugeuza kama watoto wenzao.
  11. chadibwa255

    Kuna mambo ambayo siyo ya kawaida yaliyotokea leo kwenye sherehe za Uhuru wa Tanganyika.

    Kasema maraisi wastaafu kutoka bara ndo hawakuwepo mkuu...mwinyi sio wa bara yule
  12. chadibwa255

    Baada ya Kumalizana na CCM, Shigongo kaibuka na hii

    Lile lijamaa sina hata hamu nalo majitu mengine buuuuure kabisa limerudisha mpira kwa kipa...poor gongo
  13. chadibwa255

    Milion 50 za Paul Makonda kushindaniwa na wasanii wawili, Banana Zoro vs Christian Bella

    Hiii stori ichapishwe isomwe na wanafunzi wa o-lever ni fasihi tosha
  14. chadibwa255

    Wadaiwa bodi ya mikopo kitanzini. Kuanza kukatwa 15% kutoka kwenye mshahara

    Mkuu jumatano naibu waziri wa elimu alisema imeshasainiwa tatari chanzo EATV kikaangoni
  15. chadibwa255

    Msajili Hazina: Hakuna mtu aliyekuwa akipokea mshahara milioni 40

    Wanakataana kauli zao wenyewe kwa wenyewe tena.. hii kauli ya watu kukunja mil40 kwa mwezi si aliitamka mtukufu mwenyewe jamani au kabda me sikumbuki vizuri wadau
Back
Top Bottom