beikinu cha kusaga no.100 ni 1,5milioni , base yake 250,000/= stand/ frame. mota 40hp 1.2millioni, stata ni laki 5, kinu cha kukoboa rola 3 ni 1.2milioni, base/ stand 250,000/= stata laki 5, , mota 1.2milioni, waya mnene laki 1 total cost ni kama 6,700,000/= HIYO NI UHAKIKA...