malamsha shao
JF-Expert Member
- Sep 23, 2012
- 228
- 95
Mbona umenitumia bei kubwa kwenye pm kuliko uliyoweka kwenye post?
Hii biashara ya PM hii. Mtu inabidi ujiulize mara mbilimbili. Umeamua kutangaza public, kwanini bei iwe in privacy?
Nataka la ft 40 nipe bei mkuu?
miye niko Arusha nataka la futi 20