Bei za mashine za kusaga na kukoboa mahindi

beko

Senior Member
Apr 11, 2011
189
91
Naomba mwenye uzoefu na aina pamoja na bei za machine za kusaga na kukoboa mahindi anisaidie.natanguliza shukrani
 
Mkuu kama unataka mashine imara wasiliana na workshop ya SIDO moshi. wanatengeneza mashine nzuri na imara sana. Bei yake ni kati ya TSHS. 2.3-2.5M kwa mashine ya kusaga number 75 na kukoboa roller 3.Zote zinafungwa Motor za 25Hp na unapewa na Starter pia. very good machine and durable, i have one set of the same. Achana na mashine za laki 900,000, capacity yake ni ndogo sana hivyo hutumia umeme mwingi.
 
please fafanua 2.5M ni kwa ajili ya production line kamili ?tupatie jina /simu ya hao jaamaa mhusika
nimeona hizi ktk website yao.ila ni ya meneja :)
Person to contact: Regional Manager
Address: P.O. Box 1719
Telephone No: +255-27-2753290
Mobile: +255-754-272801
E mail: kilimanjaro@sido.go.tz
Region: Kilimanjaro - Tanzania
Mkuu kama unataka mashine imara wasiliana na workshop ya SIDO moshi. wanatengeneza mashine nzuri na imara sana. Bei yake ni kati ya TSHS. 2.3-2.5M kwa mashine ya kusaga number 75 na kukoboa roller 3.Zote zinafungwa Motor za 25Hp na unapewa na Starter pia. very good machine and durable, i have one set of the same. Achana na mashine za laki 900,000, capacity yake ni ndogo sana hivyo hutumia umeme mwingi.
 
Mkuu kama unataka mashine imara wasiliana na workshop ya SIDO moshi. wanatengeneza mashine nzuri na imara sana. Bei yake ni kati ya TSHS. 2.3-2.5M kwa mashine ya kusaga number 75 na kukoboa roller 3.Zote zinafungwa Motor za 25Hp na unapewa na Starter pia. very good machine and durable, i have one set of the same. Achana na mashine za laki 900,000, capacity yake ni ndogo sana hivyo hutumia umeme mwingi.
Hiyo ni bei pamoja na motor, au unatakiwa ununue motor?Kama utahitaji kufunga motor unatakiwa motor yenye ukubwa gani (in terms of range from lowest to highest in hp)
 
Mtafute Munuo SIDO Moshi namaba zake 0754 92 93 24 kama nitakuwa nimekosea namaba zake wasiliana na dada anaitwa Lilian namba yake ni 075289 89 65 yupo SIDO-Arusha atakupa mawasiliano ya pale Moshi wapo vizuri sana.
Kila la kheri Nitafurahi Ukifanikiwa
 
Mkuu kama unataka mashine imara wasiliana na workshop ya SIDO moshi. wanatengeneza mashine nzuri na imara sana. Bei yake ni kati ya TSHS. 2.3-2.5M kwa mashine ya kusaga number 75 na kukoboa roller 3.Zote zinafungwa Motor za 25Hp na unapewa na Starter pia. very good machine and durable, i have one set of the same. Achana na mashine za laki 900,000, capacity yake ni ndogo sana hivyo hutumia umeme mwingi.

Asante sana kwa taarifa hii mkuu
 
Hii kitu imenifurahisha sana wakuu ila bado hamjajibu maswali ya msingi...
Hizi mashine ni pamoja na motta?
Mpaka zianze kufanya kazi unaweza kuwa umeingia gharama kiasi gani?
 
beikinu cha kusaga no.100 ni 1,5milioni , base yake 250,000/= stand/ frame. mota 40hp 1.2millioni, stata ni laki 5, kinu cha kukoboa rola 3 ni 1.2milioni, base/ stand 250,000/= stata laki 5, , mota 1.2milioni, waya mnene laki 1 total cost ni kama 6,700,000/= HIYO NI UHAKIKA NILIFANYA FEASIBILITY STUDY MWENYEWE KRBU KWA USHAURI WA BURE ULIZA CHOCHOTE KILE KUHUSU MACHINES UPATIKANAJE WA MAHINDI KAMA UPO DAR NA AINA ZA MAHINDI YANAYOFAA
 
Naomba kujua matumizi yake ya umeme tafadhali
 
Habari! Naomba ufafanuzi kidogo,inawezekana kufungua mashine ya kusaga na kukoboa maeneo ya makazi ya watu? Maana sehemu ninayofikiria kufanyia mradi ni home na inabidi kubomoa kuta kama vyumba viwili au vitatu sasa kabla sijaanza bora niulize mapema kwa wazoefu wa kazi hizi,nawasilisha wakuu!!
 
beikinu cha kusaga no.100 ni 1,5milioni , base yake 250,000/= stand/ frame. mota 40hp 1.2millioni, stata ni laki 5, kinu cha kukoboa rola 3 ni 1.2milioni, base/ stand 250,000/= stata laki 5, , mota 1.2milioni, waya mnene laki 1 total cost ni kama 6,700,000/= HIYO NI UHAKIKA NILIFANYA FEASIBILITY STUDY MWENYEWE KRBU KWA USHAURI WA BURE ULIZA CHOCHOTE KILE KUHUSU MACHINES UPATIKANAJE WA MAHINDI KAMA UPO DAR NA AINA ZA MAHINDI YANAYOFAA
Chachandumbaya Habari!! Mi nna swali kwa maeneo ya makazi inafaa kuweka mradi wa kusaga na kukobo maana nataka kufanya mradi huu ila pesa ya kukodi eneo sina maana mtaji wangu mdogo na ndo nataka kuanza biashara,mzee wangu kanipa eneo home fremu na vyumba 2 ila ni makazi ya watu.Je itaruhusiwa kisheria???
 
Mkuu kisheria (nahisi) unatakiwa uwaone ofisi ya ardhi wilaya ili kubadilisha kiwanja chenu kiwe na hadhi ya biashara na makazi! lakini pia kama shughuli zitakazokuwa zinaendelea hapo kama ni kubwa sana basi inabidi uwe makini usije ukawaudhi majirani na kaunza kukupinga vita!
 
Back
Top Bottom