Recent content by chabichabi

  1. C

    Kichekesho: Eti msanifu wa UKUTA ya CHADEMA ni John Mrema!

    acha kutangaza ukabila, mshamba we! Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
  2. C

    Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

    kwani ukisema kichas tu si inatosha na ujumbe wako utakuwa umefika, kwani lazima uatack kabila lake.
  3. C

    Ona jinsi Magufuli alivyozomewa leo 22/10/2015

    elf tano mchezo...lazima ushangilie
  4. C

    Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

    acheni unafiki mnajifanya wastarabu kumbe hakuna lolote, acha mzomee kama wahuni nyie ndo mmewasababishia, mmewaahid maisha bora hawajayapata mnategemea kushangiliwa au kuzomewa?
  5. C

    Kulala kwa Lowassa Msibani kuwe Funzo kwa Wapiga kura Tanzania

    mi nashangaa watu wanadhani kuzunguka nchi nzima, kufanya mikutano kila siku mchezo, mi nasema huyu mzee yuko very strong.
  6. C

    Hii ndiyo amani Wanayoihubiri CCM

    ndg hii haiwezekani kabisa, hatuwez kuchaguliwa rais na watu watano dodoma, tz hakuna amani, ni ujinga na upuuz wetu watz ila isingekuwa hivyo tungeshanyonga majizi kibao hapa, inawezakan vip watu wanaiba ela kwa magunia afu wanasema ni za mbona, hili linawezekana tanzania tu!
  7. C

    CCM maji yako shingoni

    hawa jamaa wamechanganyikiwa, wiki hizi mbili za mwisho wamehakikisha kila nguzo ya umeme hapa mjini na bendera ya ccm, shida zote za nini,mngetumia wananchi vizur msingehangaika hivi,
  8. C

    Waangalizi wa kimataifa NI wezi wa kura"MBOWE

    pandikizi bibi yako
  9. C

    Wabunge wapya wa Bunge lijalo hadi sasa

    wewe ndo unakunya, lile zombi ambalo halijui hata kutoa hoja nani atalirudisha bungeni
  10. C

    Waangalizi wa kimataifa NI wezi wa kura"MBOWE

    wewe ndo shetani mkubwa na chama lako linahuburi aman kumbe linajiandaa kuleta machafuko
  11. C

    Lowassa will never win says South Africa

    hahahahaahhahaahahha mbavu zangu......
  12. C

    Kamati ya Maadili Taifa, yamuonya Mgombea Mwenza CHADEMA, Juma Duni Haji

    na yule aliyesema wapiga kura wapo mil 28 kapewa adhabu gani?
  13. C

    Mgomo mkubwa wanukia nchini

    ndo mi nasemaje democrasia ni sio kitu kizur kama tunavyafikiria, sasa unamkuta mfanya kazi kama huyu, kwa hali ya kawaida unatakiwa umumzishe kwa amani tu, hakuna namna nyingne ya kudeal naye
  14. C

    GE2015 Magufuli ataja mafisadi CCM

    walisema ahadi za lowassa hazitekelezeki lakini cha ajabu gamba lao hadi sasa limetoa ahadi ambazo kwa utekelezaji wake zinahitaji trilion 63 na bado linatoa ahadi huenda zikafika 70, wakati huohuo ahadi za lowassa hadi sasa ni trilion 28, kama zikiongezeka sna zinaweza kufika 30 au 35. sasa...
Back
Top Bottom