Acha hizo hizi si sababu za kitoto! Meli imelipwa zaidi ya bilion 3 na huko mwanza mwenye kituo cha mafuta alilipwa fidia billion 2 ! Hizi ni sababu za kitoto? Pesa hizi zingeweza kujenga zahati na kununua madawa pia kununua madawati na kuwalipa walimu haki zao, Magufuli si mwadilifu ni mtu wa kukurupuka sana na ukurupukaji wake ndiyo umelitia Taifa hasara kibao zikiwemo za kusitisha hovyo mikataba ya makandarasi na matokea yake wakishinda kesi wanalipwa mabilioni, nyumba za Serikali , kivuko feki, na billion 251 zimeyeyuka wizara ya Ujenzi kwa njia za ufisadi.
Unayakumbuka maneno yako..?Eti mafisadi atawashughulikia ebu tujiulize
1. Aliyeuza nyumba za serikali ni nani?
2. Aliyeiba billion 262 wizara ya Ujenzi ni nani?
3. Aliyekamata meri ya samaki kipumbavu na serikali kulipa billion 3.6 ni nani?
Eti Leo hii apambane na mafisadi huu in ujinga, upumbavu na upuuzi mtupu mkadanganye walevi.