Recent content by chaArusha

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mtatiro amenena vyema kuhusu Sugu na Masonga kutoka gerezani

    Naomba Mungu anibariki nisije kuwa mnafiki kama wale wa Lumumba, mazingira ya kesi, hukumu na kutolewa kwa Sugu kunaonyesha kabisa 'washamba' wanaweweseka
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma Dom miaka ya tisini

    Shalom wakuu. Na mimi leo nimeshawishika kukumbuka kidogo mambo ya zamani hasa wale waliokulia katika mji wa Dodoma kuanzia miaka ile ya themanini hadi tisini. Nakumbuka kipindi kile kulikuwa na ushindani mkubwa sana kwenye soka, hasa za sekondari. Kulikuwa na shule kama Dom Sec, Central...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Je kuna bifu kati ya Shigongo na Diamond?

    Watu bwana, wakiandika oooh bila kuandika habari za Diamond hawauzi, wakiacha kuandika oooh wana bifu, simamieni sehemu moja
  4. C

    JamiiForums Tanzania Babu Tale afunguka kuhusu bifu lake na Shigongo

    Haaa haaa haaaa, duh, yaani sawa sawa na Harmorapa afunguke kuhusu bifu lake na Diamond!! Kiki watafute kwa kuangalia na size, siyo kiki bora kiki, sasa kama yeye ana bifu na Shigongo, na huyo bosi wake Ruge Mutahaba asemeje?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amjibu Shigongo

    Ushauri amepewa Diamond, Babu Tale povu la nini? Mbona Sallam kakaa kimya? Kinachomuuma Tale ni magazeti ya Shigongo kuandika habari za yeye kumdhulumu shehe na kushtakiwa Mahakamani. Tale hakutaka habari zile ziandikwe, mwanzo alisema magazeti ya udaku waongo, watu wakasubiri siku ya kesi...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wale wa Dom mwishoni mwa miaka ya 90

    Kulikuwaga na ushindani mkubwa sana wa mpira wa miguu kwa shule za sekondari. Nakumbuka timu ya Jamhuri ilikuwaga ndiyo best, ikichukua ubingwa kutoka shule ya sekondari ya Mazengo uwanjani kwao. Hivi wale vijana wa shule enzi hizo pamoja na wale wa shule za Central na Dom Sec waliishiaga wapi?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Namuunga mkono Mhe Magufuli, lengo lao usifanikiwe

    Halafu tunamdanganya Magufuli kuwa ana watu wanaoweza kumsaidia kuipeleka nchi katika viwanda na watu wenyewe ni pamoja na huyu aliyeanzisha hii mada mfu!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Namuunga mkono Mhe Magufuli, lengo lao usifanikiwe

    Halafu tunamdanganya Magufuli kuwa ana watu wanaoweza kumsaidia kuipeleka nchi katika viwanda na watu wenyewe ni pamoja na huyu aliyeanzisha hii mada mfu!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tusikubali Wanasiasa Wapandikize Chuki Dhidi ya Polisi

    MM Mwanakijiji kawa boya kweli siku hizi
  10. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

    Tupia CV yake tafadhali
  11. C

    JamiiForums Tanzania Lulu azuiwa kuingia Ikulu

    "Waziri mkuu ofisi yake iko Ikulu?" Yeah, Ofisi ya Waziri Mkuu ipo Ikulu, upande ule wa barabara inayoenda soko la samaki Ferry, linatazamana na lile jengo la chuo flani cha serikali
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Nauliza, Hivi hakuna kiwanda kinanunua haya matikiti maji kwa bei ya jumla na je kama kipo, ni shilingi ngapi kwa kuilo?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mapokezi Global Publishers imenisikitisha

    Ni jambo la kushangaza kweli, unaendaje kwa mtu na shida zako halafu unataka kuonana naye kadiri unavyotaka wewe? Ninavyojua, siyo tu ofisi, lakini kila mtu ana utaratibu wake wa maisha. Sioni ajabu Shigongo kuweka utaratibu wa kukutana na wanaomhitaji, ndiyo maana wanaoona ajabu kwa yeye kuweka...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku wa mayai

    Mnaweza kunitafuta kwa namba hii kwa mawasiliano zaidi 0657151643
  15. C

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku wa mayai

    Niliwanunua Julai mwanzoni mwaka huu, kampuni Interchik na nipo Madale Dar
Back
Top Bottom