Wanabodi,
Nilikuwa nafuga kuku wa mayai, lakini nimepata dharura inayohitaji fedha na hivyo kushindwa kumudu kuwalisha kuku hao wapatao 280 ambao hivi sasa wana miezi mitano na siku yoyote wataanza kutaga. Ninaweza kuwauza wapi kwa bei ya jumla?
Niliwanunua Julai mwanzoni mwaka huu, kampuni Interchik na nipo Madale Dar
Wanabodi,
Nilikuwa nafuga kuku wa mayai, lakini nimepata dharura inayohitaji fedha na hivyo kushindwa kumudu kuwalisha kuku hao wapatao 280 ambao hivi sasa wana miezi mitano na siku yoyote wataanza kutaga.
Ninaweza kuwauza wapi kwa bei ya jumla?
Kwani Kuna Kuku Wa Maziwa