Recent content by cha mtu mavi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nioneshe marafiki wa Tundu Lissu nami nitakuonesha Oligaki, Aristrokasi na Timokrasi

    Ukirudi ccm unakuwa na mkia asingeweza kupata cheo chochote hata ubalozi wa nyumba 50 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nioneshe marafiki wa Tundu Lissu nami nitakuonesha Oligaki, Aristrokasi na Timokrasi

    Tupo pamoja awa wa kundi la pili na la Tatu watasubiri sana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijamuona aliyejibu hoja ya Tundu Lissu

    2009 NGOSHA alikuwa wizara gani ebu tukumbushane mi nakumbuka lkn sio ivyo wengi wanavyo zania,mwenye kumbukumbu nzuri anisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    JamiiForums Tanzania Bei ya complit tractor

    Nimetaja uwezo kwa uchache inamaniisha chini ya 2wd sasa izo ni mtihani kwani unataka kulimia nini au mchicha? Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Freeman Mbowe ni kiongozi dhaifu

    We tatizo Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
  6. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wadau

    Nina mpango wa kukopa trekta au Mashine ya kuvunia mpunga lkn pesa zangu ni ml.30 Mashine zinauzwa ml.55@ 1 shida yangu nataka kujua mkoa gani naweza weka Mashine yangu au trekta langu likanisaidia kulipa mkopo kwa amani na kama ikiwezekana nipate mchanganua wa ukodishaji wa Mashine au trekta...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Bei ya complit tractor

    Mi nimefuatilia sabasaba bei sio hiyo kuna matrekta m.100 na mengine m 55 lkn swalaj yenye 4wd m 45 2wd m35 na aina zingine bila ya chochote nimecheki agri com na jkt pamoja na Jo deeper ndio bei izo kwa bei ulizo taja wewe ni vitrekta vidogo vidogo kuna mawakala wanakopesha lkn sijajua kwa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nampa Papa....Giggy Money. Basata shkamooni

    Matusi sasa duh!!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kutana na WAAJEMI(IRAN ya Sasa), Adhabu mbaya na hatari kabisa kuwahi kutolewa Duniani

    Kuchinjwa kuku unaogopa mbona kumla we wa kwanza huruma gani hiyo
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kutana na WAAJEMI(IRAN ya Sasa), Adhabu mbaya na hatari kabisa kuwahi kutolewa Duniani

    Wakati Hitler cha mtoto mbele ya Mao na starllen
  11. C

    JamiiForums Tanzania Jina gani hutaki kabisa hata kuliskia

    Ukiona hivyo wao ndio wazinguaji
  12. C

    JamiiForums Tanzania Jina gani hutaki kabisa hata kuliskia

    Halima jina lililonivurugia ndoto zangu mpk sasa napambana ili ndoto zangu lkn bado sitolisahau kwa upuuzi alonitendea na ambao bado anaendelea kunitendea najuta kumfahamu
  13. C

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Niunge kwenye group 0657256585
  14. C

    JamiiForums Tanzania CUF Lipumba yatambulisha Bodi mpya ya wadhamini, yadai kupata usajili RITA

    Hapa tatizo kusikiliza watu wa pembeni kwani kambi ya seif hakuna wasomi? Wanashindwa nini kukaa pamoja na kambi ya lipumba kuweka mambo sawa zaidi ya kinishiana vifua tu,Leo hii imefikia wanashauri na mpinzani wako MF.matatizo ya Yanga unamfata kaburu akushauri unategemea nini?Hakuna namna...
Back
Top Bottom