Recent content by Cesc Henry Sn

  1. Cesc Henry Sn

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Bruuu kua
  2. Cesc Henry Sn

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu imekumbwa na nini?

    Habari za mida wakuu, Najiuliza tangu juzi kumekuwa mtandao wa simu kwenye upande wa internet kuwa slow maana nna line 3 za simu tofauti na mara nyingi nakuwaga katikati ya mji so huwa natumia internet ila siku mbili hizi mitandao imekuwa slow hadi sielewi. So najiuliza je ni hiyo central...
  3. Cesc Henry Sn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Yanga wamefanya usajili bora zaidi kuliko Simba!

    Hadi sasa yanga sijui mhambuliaji wa uhakika pengo hilo nani anaziba...
  4. Cesc Henry Sn

    JamiiForums Tanzania Hili lina ukweli kwamba kumbe huko nchini Gambia......

    Hiyo survey sio ya kuiamini, tucheck nyingine
  5. Cesc Henry Sn

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    [emoji6]
  6. Cesc Henry Sn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live Azam2:EID komedi gala

    Hivi waandaji kwanini swala la lighting halikizingatiwa, pia wachekeshaji wetu wanang'ania sana kingereza waongee kiswahili tu ili waeleweke. Mi naona MC Pilipili kajitahidi, zaidi ya dogo Pepe, mau na katarina
  7. Cesc Henry Sn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live Azam2:EID komedi gala

    Check kwenye website ya AzamTV unaweza kuona live
  8. Cesc Henry Sn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live Azam2:EID komedi gala

    Ingia website ya AzamTV ina sehemu ya watch live
  9. Cesc Henry Sn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live Azam2:EID komedi gala

    Kamaliza haraka sana
  10. Cesc Henry Sn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live Azam2:EID komedi gala

    Katarina huwa yupo vizuri
  11. Cesc Henry Sn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live Azam2:EID komedi gala

    Anajitahidi ila ana niboa ile kusalimia salimia, anatoka hadi kwenye point!
  12. Cesc Henry Sn

    JamiiForums Tanzania Wasomi wengi wabeba boksi wanaikimbia Denmark

    Bora ubebe box kuliko kuwa mwizi ulaya...
  13. Cesc Henry Sn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hiki hapa kifaa kipya cha Simba kutoka Zambia chatua nchini!

    Mnywa viroba Ndola huko...
Back
Top Bottom