Ni kweli kabisa, maana walioanza ja soft wote lap ya kwanza ama kwenye ile formation lap walibadilisha, ila mwishoni karibia wote walimaliza na soft, mbio za vurugu vile huwa ninazopenda sana, mbio za namna hii tumezoea kuziona Mexico na Brazil.
Hamilton leo kanifurahisha sana,sikutegemea kama angepata hata nafasi ya 5, ila alionyesha uvumilivu mkubwa sana, maana wenzie walibadilisha tyre ila bado akakomaa na soft,
Nimefurahi kuona sasa tuna aerial threat, kitambo sana tokea Ramos aondoke hatukuwa na vijana wa kufunga mipira ya juu, ila huyu Dumfries ameonyesha ana kitu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.