Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,233
Sijui anataka tufungwe Kwanza huyu MzeeKocha wa Uingereza anasubiri nini kufanya sub
Keshalewa sifa
Sijui anataka tufungwe Kwanza huyu MzeeKocha wa Uingereza anasubiri nini kufanya sub
Saka anapaka sana rangi sometimes. Rashid angesumbua pale mbele. At least pressure haiwi kubwa tu upande wa lango la England.Kwanini Tuko hafanyo sub kuongeza nguvu kama Rashford na Saka