Recent content by celline5

  1. celline5

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

  2. celline5

    JamiiForums Tanzania Maombi ya wa Tz kwa Lissu

    Mkuu naona wanyama wenzio bado wako kenya wasubiri wakirudi serengeti watasaidia maombi
  3. celline5

    JamiiForums Tanzania Nimempata niliyekuwa na mtafuta

    Napenda kutoa mrejesho wa previous post ya my X nawashakuru kwa wale wote walionisaidia kupata details nilizokuwa nazitafuta shukran na mbarikiwe.
  4. celline5

    JamiiForums Tanzania Namtafuta X wangu

    Akili ni yako siwezi judge mawazo yako
  5. celline5

    JamiiForums Tanzania Namtafuta X wangu

    Poa brodah
  6. celline5

    JamiiForums Tanzania Namtafuta X wangu

    Hapana temeke cijafika sina jamaa huko tulikuwa tunakutana maeneo mengine na namba yake ilokuwa inaisha na ***6888836 haipo hewani
  7. celline5

    JamiiForums Tanzania Namtafuta X wangu

    Wifi yangu mbn hunipi feedback it seems unamjua
  8. celline5

    JamiiForums Tanzania Namtafuta X wangu

    Jamani tuache masihara niko serious mwenzenu
  9. celline5

    JamiiForums Tanzania Namtafuta X wangu

    Kwa temeke na na abdul ni sawa ni pm bandugu
  10. celline5

    JamiiForums Tanzania Namtafuta X wangu

    Ni kitambo hatujawasiliana kutokana na mimi kwenda kusoma nje ya nchi Nimemtafuta kwa social network lkn hayuko active mana last status ni ya miezi tisa nyuma Kwa yeyote anayemfahamu huyu m2 ani pm
Back
Top Bottom