Namtafuta X wangu

Namtafuta X wangu

Embu tuma na wewe pic yako ya sasa itakuwa rahisi tukionana nae tumuonyeshe unavyofanania kwa sasa.

Inaonekana alikuwa anakusugua vizuri yaan kuranda kote nje ya nchi bado umerudi unamtafuta yeye tu
[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Duuh.. wanamume mupoooooo.... mmejionelea nguvu ya MASHINE... weeeeeeee.... Hii bahati ya kutafutwa sio mchezo.. Ndo mana mi huwa nasema ukiwapatia hawa viumbe ni kuwatandika bila huruma..
 
Acha ubaguzi lol...
Humuoni bashe?
Unajuwa maana ya uraia?
Jifunze kutofautisha uasili wa MTU na uraia wake.
Tuko watanzania wengi wenye asili tofauti na watanzania asilia.
Tumezaliwa Tanzania wazazi wetu pia na babu zetu walizaliwa nchini japo kwa nje twaonekana rangi zetu sio sawa na wale waasili kabisa.
Acha ubaguzi

wengine tuliopitia mafunzo ya upelelezi na ujasusi tunajua unalotafuta..pole mlioiingia chaka. huyu anasakwa kwa rb fulani.

kwa nini mtafutaji ambaye ni member wa siku nyingi hapa JF hakutumia ID yake badala yake kafungua mpya na hapo hapo kaleta bandiko hili.

watu kama sisi tuliojiunga kitambo JF tunajua mengi.

soon jamaa mtamsikia mahakamani

mbarikiwe
 
Huyo ni rafiki yake mkubwa DELICIOUS wa Migomigo
 
wengine tuliopitia mafunzo ya upelelezi na ujasusi tunajua unalotafuta..pole mlioiingia chaka. huyu anasakwa kwa rb fulani.

kwa nini mtafutaji ambaye ni member wa siku nyingi hapa JF hakutumia ID yake badala yake kafungua mpya na hapo hapo kaleta bandiko hili.

watu kama sisi tuliojiunga kitambo JF tunajua mengi.

soon jamaa mtamsikia mahakamani

mbarikiwe
Haaaa binafsi nimehisi hivyo
 
Huyu jamaa last time kama niliona taarifa mahali kwamba aliteuliwa kuongoza kikundi "asi" huko kwao Somalia....sina uhakika lakini.
 
Nenda Mtaa wa Yombo Temeke mitaa ya Super Rose Bar utapata mawasiliano yake.
 
Huyu hakosi AK47 kwenye hyo kanzu hawa vijana wa garissa na isiriri hatari sana kuliko ata maralia sugu.
 
wengine tuliopitia mafunzo ya upelelezi na ujasusi tunajua unalotafuta..pole mlioiingia chaka. huyu anasakwa kwa rb fulani.

kwa nini mtafutaji ambaye ni member wa siku nyingi hapa JF hakutumia ID yake badala yake kafungua mpya na hapo hapo kaleta bandiko hili.

watu kama sisi tuliojiunga kitambo JF tunajua mengi.

soon jamaa mtamsikia mahakamani

mbarikiwe
Duuu
 
X wako utampata tu! wa tz hatuna hela sikuhizi atushobokei mademu wa watu ovyovyo
 
Back
Top Bottom