kidole007
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 3,094
- 1,878
NB huu uzi hau husiani na nyuzi nyingeni mods msiunganishe
Nije kwenye mada baada ya tukio la leo lilimpata Mhe Tundu Lissu nimekua nikilifatilia kwa ukaribu sana kwa kupitia mitandao ya kijamii
WaTz wamejitokeza kutoa maombi kumwombe Lissu apote naam naona mungu ameskia maombi
Wale wote wanaopenda kuombewa nadhani wameshapata picha kua kuombewa hakulazimishwi.