Recent content by Ccreation

  1. Ccreation

    Msaada: Namna kuanzisha kiwanda kidogo cha uchapishaji vitabu (Micro press)

    Kiwanda kidogo cha uchapishaji : kinahitaji mashine zifuatazo ,printing machine, ( ya kuchapa) paper cutter(ya kukata karatasi) folding machine ( kukunja) perforation machine ( ya kutoboa) stitching machine ( kushona / kuunganisha Vitabu) grising machine ( kuchora michirizi) nk inategemea na...
  2. Ccreation

    Ongoing projects in Dar es Salaam Tanzania East Africa 2017

    Is not me who asked such questions, I try to answer someone nonsense questions, and help to explain, I real appreciate what you have done and I have more idea about ,I have already PM you! I love my country I love people who fight for his country
  3. Ccreation

    Ongoing projects in Dar es Salaam Tanzania East Africa 2017

    Still are economics catalyst cause during construction are the source of employment and after, u can imagine all those projects are going to employ Tanzanians from sweepers to directors , so this thread is very important even for businessmen and investors such as Real estate brokers, good job!
  4. Ccreation

    Natafuta tani 50 za Mianzi (Bamboo)

    Habari, mm nimefanya hiyo kazi na spicies unayotaka naijua nipigie tuongee 0717712071
  5. Ccreation

    Natafuta kiwanja cha kununua

    5000-6000 kwa sqm ,kwa mfano kiwanja cha 600 unazidisha kwa 5000 au 6000 , = 3,000,000/= hadi 3,600,000/=
  6. Ccreation

    Rais Magufuli, Fanya yote lakini heshimu Sheria chini ya Katiba uliyoapa kuilinda na kuitetea

    Elezea kipengele kimoja baada ya kimoja kilivyokiukwa na urejee katiba ( kifungu gani cha katiba) ,utaeleweka otherwise utakua unaimba wimbo usioujua
  7. Ccreation

    Graduate tuungane tutengeneze fursa

    Habari zenu Naitwa Chad Ni mjasiriamali mwenye taaluma ya Mauzo na Masoko, CEO wa kampuni ya CHAD CREATION CO Ltd inajishughulisha na Real estate, Nimeanzisha program ya kuwawezesha vijana kwa mawazo , na kwa na kwa vitendo katika kupunguza tatizo la ajira kwa vijana. Tayari vijana wapatao 6...
  8. Ccreation

    Viwanja,nyumba,uwekezaji,

  9. Ccreation

    Graduate tuungane tutengeneze fursa

    MREJESHO* NAPENDA KUWAJULISHA MAENDELEO YA KUUNDA KUNDI LA VIJANA LITAKALOJIKITA KATIKA KUTUMIA FURSA NA KUGEUZA KUWA AJIRA , BE HADI SASA TARATIBU ZINAKWENDA VIZURI, NAPENDA KUWAJULISHA AMBAO WANAHITAJI KUUNGANISHWA KATIKA GROUP WAENDELEE KUNITUMIA NAMBA KUPITIA 0762781778 what's up kwa wale...
  10. Ccreation

    Surveyed plots/viwanja vilivyopimwa

    Kigamboni(15000/= ) per sqm na (30000/=) per sqm Beach plots MVUTI (10000/=)Per sqm , Mkuranga (4000/=)sqm KIBAHA (6000/=) per sqm ,
  11. Ccreation

    Surveyed plots/viwanja vilivyopimwa

    CHAD CREATION CO LTD: Inakuletea punguzo la bei kwa viwanja vilivyopimwa ambavyo utakabidhiwa na hati baada ya malipo,tuna viwanja vya makamu,biashara na viwanda pia maeneo ya kilimo na ufugaji, viwanja vyetu vipo maeneo yafuatayo: KIGAMBONI,MVUTI,KIBAHA,KONGOWE NA PUNA BEACH(sea view)...
  12. Ccreation

    Natafuta kiwanja cha kununua

    uhitaji wako kiwanja , kampuni yetu inajishughulisha na uuzaji wa viwanja pamoja Na ujenzi wa nyumba kwa gharama nafuu sana, tuna viwanja kigamboni,Mvuti,Mkuranga,kibaha,na kongowe ,katika size tofauti na na bei tofauti,.VIWAJA vyote vimepimwa na utafanyiwa utaratibu wa kumiliki hati .Pia...
  13. Ccreation

    Graduate tuungane tutengeneze fursa

    kweli that's why nimeandaa what's up group ili hayo yote yafanyike huko, tayari ni mikakati huwezi kuiweka yote wazi,Nitumie namba yako nikuunge
  14. Ccreation

    Graduate tuungane tutengeneze fursa

    What's up group lipo tayari wenye nia ya kufanya kitu kwa pamoja, nichekini what's 0762781778 haijalishi umehitimu lini,
  15. Ccreation

    Graduate tuungane tutengeneze fursa

    Pia suala hili si lazima graduate jambo la msingi watu wenye nia moja waliamua kujituma , maana mafanikio ni kwa machozi ,jasho na damu hakuna mteremko
Back
Top Bottom