Nkuruvi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 620
- 643
Wakuu salaam,
Nina wazo la kuanzisha kiwanda kidogo cha uchapishaji vitabu (Micro Press). Ninaomba msaada kwa mwenye uzoefu na shughuli hizi katika mambo yafuatayo:
1. Aina za Mashine za muhimu kuwa nazo katika hatua za mwanzo za kuanzisha ofisi hii na bei za mashine hizo.
2. Taratibu za kisheria za kuanzisha kiwanda hiki.
3. Taaluma gani ya mfanyakazi ninaetakiwa kumuajiri katika kuchapisha vitabu.
3. Uzoefu wa soko, Soko lipo la kutosha? Na mengine mengi kama ushauri.
Ahsanteni sana