Ccreation
Senior Member
- Sep 27, 2015
- 145
- 55
5000-6000 kwa sqm ,kwa mfano kiwanja cha 600 unazidisha kwa 5000 au 6000 , = 3,000,000/= hadi 3,600,000/=Kibaha vinaanzia bei gani?
5000-6000 kwa sqm ,kwa mfano kiwanja cha 600 unazidisha kwa 5000 au 6000 , = 3,000,000/= hadi 3,600,000/=Kibaha vinaanzia bei gani?
sister 15 kwa 30 bei gani utaniuziaaunty kemmy,kwa uzoefu wangu wa kujenga madale,mivumoni,bunju na goba,viwanja vingi havina hati,mtu anakukatia eneo mnaandikishiana kisheria na kiserikali mnamalizana,suala la kupima na kushughulikia hati process unafanya wewe mwenyewe,ukibahatika kupata chenye hati kabisa gharama lazima iwe kubwa na pia kwenye kubadilisha umiliki wizarani ni lazima ulipie,hivyo njoo nikuuzie kiwanja madale ninavyo vitatu,then process ya kupima nitakusaidia kwa kukuunganisha na jamaa zangu nilisoma nao chuo wao ni ma-surveyor wapo wizara ya ardhi,ofisi ya ardhi kinondoni nk ili waje wakupimie na wakupe michoro kwa hatua za kuprocess hati,napatikana kwa namba 0786 294545
Kivule huko si ndiko wanavunja nyumba??Njoo nikuuzie kiwanja Kivule-Sirari....jirani kabisa na Banana...bei 2m....ukubwa 400sqm...karibu
Kuanzia bei gani mkuu?Njooni niwauzie kigamboni mwembe mdogo kwa bei ya kutupa
Ml tano 30*30 mitres viko viwili flat 200 metres kutoka barabara inayoeekea avic twnKuanzia bei gani mkuu?
Kivule huko si ndiko wanavunja nyumba??
kwanini usifanye haya yote ndipo uuze?aunty kemmy,kwa uzoefu wangu wa kujenga madale,mivumoni,bunju na goba,viwanja vingi havina hati,mtu anakukatia eneo mnaandikishiana kisheria na kiserikali mnamalizana,suala la kupima na kushughulikia hati process unafanya wewe mwenyewe,ukibahatika kupata chenye hati kabisa gharama lazima iwe kubwa na pia kwenye kubadilisha umiliki wizarani ni lazima ulipie,hivyo njoo nikuuzie kiwanja madale ninavyo vitatu,then process ya kupima nitakusaidia kwa kukuunganisha na jamaa zangu nilisoma nao chuo wao ni ma-surveyor wapo wizara ya ardhi,ofisi ya ardhi kinondoni nk ili waje wakupimie na wakupe michoro kwa hatua za kuprocess hati,napatikana kwa namba 0786 294545
Maeneo gani wataka?Me nna laki tano nataka kiwanja.
kokote kinapopatikanaMaeneo gani wataka?
Kisogeze mpk boko mkuuAnayehitaji kiwanja morogoro. Pm me.
Habari zenu jf
Natafuta kiwanja cha kununua maeneo ya boko bunju madale mbweni na goba
Kiwe kimepimwa tayari.
Ila kwa hy bei utapata cha ovyo au mbaliiii, jaribu kuongeza angalau m2 upate cha kuelewekakokote kinapopatikana
Ni kweli mkuu, 90% viwanja kule ni vya wakubwaKuwa makini sana hayo maeneo kununua kiwanja hasa huko mbweni kutapeliwa nje nje!!
unauza bei gani hvyo viwanjaaunty kemmy,kwa uzoefu wangu wa kujenga madale,mivumoni,bunju na goba,viwanja vingi havina hati,mtu anakukatia eneo mnaandikishiana kisheria na kiserikali mnamalizana,suala la kupima na kushughulikia hati process unafanya wewe mwenyewe,ukibahatika kupata chenye hati kabisa gharama lazima iwe kubwa na pia kwenye kubadilisha umiliki wizarani ni lazima ulipie,hivyo njoo nikuuzie kiwanja madale ninavyo vitatu,then process ya kupima nitakusaidia kwa kukuunganisha na jamaa zangu nilisoma nao chuo wao ni ma-surveyor wapo wizara ya ardhi,ofisi ya ardhi kinondoni nk ili waje wakupimie na wakupe michoro kwa hatua za kuprocess hati,napatikana kwa namba 0786 294545
Maeneo gani mkuu na bei?Anayehitaji kiwanja morogoro. Pm me.
mkuu plot bado ipo?kiwanja kipo mbezi msumi karibu na madale 25mx25m au 625sqm kimepimwa, kinauzwa 8M, vimebaki viwili
mawasiliano 0764183123