Graduate tuungane tutengeneze fursa

Graduate tuungane tutengeneze fursa

wasomi bwana!! kama thread ilivyo ya kibaguzi mnajichagua wenyew tu graduates kuanzisha izo kampuni kana kwamba MTU wa std 7 na form four awezi kufika mafanikio hayo bila kugraduate. hapo mmefeli!
Ww na wenzako wa standard 7 na form four uliomba kuingizwa kwenye hilo grup ukakataliwa siku zote acha kufikiri hasi kuwa una baguliwa kisa hujasoma na mara usilaumu kabla hujajaribu
 
Habari zenu
Naitwa Chad
Ni mjasiriamali mwenye taaluma ya Mauzo na Masoko, CEO wa kampuni ya CHAD CREATION CO Ltd inajishughulisha na Real estate,
Nimeanzisha program ya kuwawezesha vijana kwa mawazo , na kwa na kwa vitendo katika kupunguza tatizo la ajira kwa vijana.
Tayari vijana wapatao 6 0 wameshajiunga na tunahitaji vijana 100 ambao watakua katika makundi ya vijana 20 /20 na kuunda kampuni 5 za kwanza .
Kampuni hizi zitajishughulisha na kilimo cha biashara ambacho kitazingatia kanuni za kitaalamu toka uandaaji wa mashamba hadi masoko.
Kampuni hizi zitazalisha ajira, kipato,chakula, kukuza biashara, ushuru kwa serikali na kubadili fikra za vijana, pia kuongeza uzoefu wa kiongozi kwa vijana.
Kampuni hizi zitakua chini ya kampuni ya ushauri wenye wataalam wa kilimo, biashara,utafiti,sheria, bima nk ambayo itatoa miongozo muhimu kwa kampuni za vijana.

Kampuni hizi za vijana zitajishughulisha na kilimo cha mazao ya msimu mrefu, mfupi na ufugaji.
Wataalamu watawashauri kuanzia upimaji wa udongo, mbegu, mbolea, mifumo ya umwagiliaji, matumizi ya madawa ya kuua wadudu, uvunaji wa kisasa ,uhifadhi wa mazao na hatimae masoko ya uhakika.
Kampuni zitaongozwa na vijana wenyewe Kama watendaji hadi hapo zitakapo amua vinginevyo, ila chini ya uangalizi maalum kwa muda wa miaka 5 .
Katika mpango huu kampuni ya ushauri itazisaidia kampuni za vijana kutafuta mitaji toka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo.
Pia wanachama watapewa mafunzo ya taaluma mbalimbali kila mara ila kuwajengea uzoefu.

Mfumo wa kampuni hizi utatakuwa wa kumiliki hisa hivyo kila mmiliki atakuwa anamiliki hisa , hivyo kugawana faida na hasara kulingana na hisa. Wanachama wa kampuni hizi watasajiliwa na kutoa taarifa zao za msingi ikiwa ni pamoja na warithi wao.

Usajiri umeanza kwa kujiunga katika what's up group kwa namba 0762781778 na pia utatakiwa kutuma cv yako kwa email: graduatehands@outlook.com.
Tutakuwa na vikao online kilasiku saa mbili usiku.
Tupo katika hatua za mwisho za usajiri hivyo tunahitaji vijana active sana Kama huna nafasi usishiriki.
 
brother nipo dar es salaam!nitakuchek pindi nitapokuwa hewani by phone.my email pmetthew@yahoo.com.NIlipata chance ya kupiga mishe na foreigner flan zanzibar last wk ikatosha kufaham tunaweza toboa deeply kwenye nchi hii kama tukiwa cooperative focused kwenye issue za msingi kama intellectuals.chamsingi kwa washkaj wa dar or popote pale tupeane modalities tutafute start point then naamini issue zitamove foward.gradt wenzangu tujarib hata tukianza wa2 i blv w wl succeed.
Npo Dar tutaftane ndugu 0719635014
 
Hivi hadi unagraduate hujui fulsa acha kujipendekeza wapiga dili Tu;!
 
Jaman hii mada imeishia point gani! Naaminisha utekelezaji wake umefika wapi....kama watu wa Dar mlishakutana naomba nijiunge nami nipo Dar
0717498761.
 
Jamani since day one nimeomba mniadd kwenye hilo group la watsup ila hamjaniadd namba yangu ni 0653732266 naombeni mniadd.
 
Back
Top Bottom