Kwa trend inavyoelekea na namna. spika atataka kutumiwa na mfumo kumlinda mama dhidi ya wakosoaji wake ndani ya chama chao. Naona kabisa wakifukuzana bungeni na hali itakuwa ngumu sana bungeni.
Mwenye leseni eneo hilo anaitwa Cosmas Kisha ulizia ana undugu upi na katibu wa wizara ya madini bwana Sasamba.
Ukipata majibu jua kiburi kinatokea wapi.
Tangu Mama ameingia madarakani amerejesha matumaini ya ajira kwa vijana wa kitanzania kulinganisha miaka 6 kabla yake. Hii Ni baada ya miaka yake miwili kuajiri kada ya elimu na afya.
Na hili limekuwa likifanyika miezi Kama hii kwa Tamisemi kutangaza nafasi hizo ambapo waombaji huomba na mpka...
Andiko lako sijui Kama linaukweli
Kwa ufupi Mimi ni mwalimu wa sayansi natokea mkoa wa geita na wiki mbili zilizopita ndio ilikuwa awamu yetu kama mkoa hapo butimba semina ilienda vizuri bila uwepo malalamiko yoyote kwani Kama kulala tulikuwa tunalala hapo hapo chuoni labda kwa Yule ambae...
Na Mwl Udadis, Kiteto
Hatimaye kundi la kwanza la vijana 812 kutoka Mikoa yote nchini linatarajiwa kuanza mafunzo muhimu ya kilimo kwa muda wa week 16 kuanzia tarehe 17 Mwezi March. Serikali chini ya uongozi wa Rais Samia itagharamia Mafunzo na gharama ya chakula na malazi.
Kwa mara ya kwanza...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Baada ya siku chache kupita kwa mh Rais Samia Suluhu Hasani kufanya uteuzi wa waheshimiwa wakuu wa wilaya kadhaa nchini ambapo kwa asilimia kubwa ya wateuliwa wamesharipoti vituo vyao vya kazi na wengine tunasikia wamegomea uteuzi huo.
Kwanza niwapongeze wale...
Hivi huwa wakati wa tu akiwa muislan kwenye kiti Cha Urais udini ndo mnauona au vp
Ok tuje kipindi Cha magufuli tuone Safu ya uongozi CCm na jumuiya zake zilikuwa vp
Mwenye kiti CCM alikuwa Magufuli -mkristo
Makumu wake alikuwa mkristo
Mwenyekiti Uvccm alikuwa Herry james- mkristo
UWT alikuwa...
Ajali za barabarani hazipunguzwi kwa kuwa na Askari wengi barabarani Ila kwa
1.barabara Bora
2.madereva wenye elimu ya udereva yaani walio pitia veta
3.magari Bora
4.sheria Kali za barabarani kwa atakae kiuka au kuvunja Sheria
Askari barabarani watengewe vituo maalumu vya kusimama ambapo...
Njia ya kuondoa uozo wa barabarani kwa Askari wetu ni kutunga Sheria Kali kwa atakae kutwa amevunja Sheria za barabarani na kupunguza ukubwa wa faini mpaka elfu kumi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.