Recent content by CCIE

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya EGA kwa mwenye degree ni kiasi gani?

    Hakuna wenye majibu ya uhakika wataalamu?
  2. C

    JamiiForums Tanzania IT Professional certifications au masters?

    Kwa situation kama yako go for IT Certification japo siyo guarantee kuwa utapata kazi ila itakupa Added Advantage kati ya washindani. Cha Muhimu ni kutafuta sehemu ya kujitolea ili uweze kupata uzoefu na kujua jinsi kazi zinavyofanyika. Fanya certification unayoipenda na kuiweza usifanye sababu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji nafasi ya kufanya 'Internship'. Nimesoma Bsc In Telecommunication CCNA(R&S) Certificate

    Sioni tatizo kubwa hapo, nimepita njia kama yako! There is a very thin line between Emulation(gns3) na Real Cisco devices. IOS unayotumia kwenye gns3 is the same kwenye real devices. Most network engineers spend their time kwenye IOS CLI rather than Cabling,racking and stacking,replacing power...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji nafasi ya kufanya 'Internship'. Nimesoma Bsc In Telecommunication CCNA(R&S) Certificate

    Jaribu kutuma Internship applications kwa makampuni mbalimbali moja kwa moja. Jaribu bahati yako, endelea kufanya Labs ili usisahau vitu.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nataka kujifunza IT

    Yes nimekupata mkuu, naamini watakuja wataalmu wazuri tu kukupa maelezo ya kina kwenye hayo maeneo. Be blessed katika safari yako
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nataka kujifunza IT

    IT ni pana sana, ni bora ukatoa maelezo unataka kufundishwa eneo lipi. Haya ni baadhi tu ya Maeneo 1 . Programming 2. Networking 3. Computer Maintenance and repair 4. Web Development and Graphics design 5. IT security 6. IT Auditing 7. Databases 8. Cloud Computing and Virtualization 9...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua nini ili niwe Hacker?

    Kuna hatua tano za hacking 1.Reconnaissance 2.Scanning and Enumeration 3.Gaining Access 4.Maintaining Access 5. Covering tracks (Hiding digital Footprints) From EC-Council, official course ya CEH blueprint. 1.Ni stage gani ambazo White Hat Hacker hafundishwi kati ya hizo?? 2. Huoni Black Hats...
  8. C

    JamiiForums Tanzania IFM website hacked: Waiondoa hewani tovuti kwa aibu

    Matumizi ya Content Management Systems (CMS), bila kuwa na ujuzi wa kutosha wa kujilinda na wadukuzi. Hayo ndo madhara yake
  9. C

    JamiiForums Tanzania MSAADA NAMNA YA KUTUMIA PRTG MONITORING TOOL

    Video: PRTG Network Monitor - Smart Setup Nimeattach link kuhusu setup guide ya PRTG. Hope itakuwa msaada kwako!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Msaada BSc in Geology vs BSc in Computer Science UDSM

    Kwa upande wangu ningekushauri uchukue Computer science, japo graduates ni wengi ila ina wigo mpana wa ajira in the future! Mifumo mingi inakuwa automated kutokana na maendeleo ya sayansi na technologia..
  11. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie ushauri wakuu

    Hongera kwa kumaliza degree yako, mitihani ya CCIE inahitaji uzoefu mkubwa katika ulimwengu wa networking ni vema ukafanya kazi na kupata uzoefu wa kutosha (hands-on experience) kabla ya kufanya mitihani hio
  12. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujua kama NMB kitengo cha ICT waliita interview

    NMB bado hawajaita.. taarifa kutoka mtu wa ndani
  13. C

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi 8 za kupata ajira popote ukiwa umemaliza chuo hizi hapa

    Upo kwenye fani (proffesional) gani?? Tuanzie hapo
  14. C

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi 8 za kupata ajira popote ukiwa umemaliza chuo hizi hapa

    Hakuna kampuni (both local na international) inayoajiri mtu bila kukagua vyeti vyake halisi, ni kinyume cha sheria na taratibu za uajiri. Labda kazi unazoongelea ni za ulinzi, karani, sales (hata hizi huitaji angalau cheti cha form 4)
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Tanzania na ndoto za Abunuasi

    Maneno mazuri sana kwa wahitimu wa chuo.. Nimejifunza mengi kupitia uzi huu
Back
Top Bottom