Msaada BSc in Geology vs BSc in Computer Science UDSM

sifuri

Senior Member
May 12, 2013
154
88
Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu na haya mambo ya elimu ya juu! Nimefanikiwa kupata principles advance level PCM (ABC=6PTS), nahitaji kusoma either of above mentioned programme hivyo mawazo yenu yatakuwa msaada tosha kwangu.

Nitashukuru kwa mawazo yenu na Mungu awabariki.
 
Cjui nikuponde au bas huenda hujapata hyo div one ila umeandika tu kama kick
Bro cwez kukulaumu maana hujui what am i through kwa sasa wth my family!kama wafikiria abt divisions and not subjected matter napata shida i can't questn back abt your level of understanding
 
Bro cwez kukulaumu maana hujui what am i through kwa sasa wth my family!kama wafikiria abt divisions and not subjected matter napata shida i can't questn back abt your level of understanding
Kila chuo unachokijua kinatoa computer science ila geology inatolewa na vyuo viwili tu udsm na udom so lazma kwa computer kutakua na graduates weng na pia waliopo mtaa ni wengi
 
Tafadhali nami nisaidiwe kuhusu INFORMATION SYSTEM IS na COMPUTER SCIENCE CS,NI UPI UTOFAUTI ULIO BAINA KTK USOMAJI NA UWEZEKANO WA AJIRA.
 
Kwanza hongera kwa ufaulu mzuri. Kama huja download prospectus ya UDSM do so halafu uzipitie hizo program mbili kwa umakini.
Pili angalia mtandaoni aina ya kazi zinaozoendana na hizi program mbili na mahitaji yake (hizo kazi)
Halafu jipime haiba yako na yale uliogundua from reading and asking others ujue ipi unakufaa zaidi. I would assume given our natural resource base geologist wanahitajika sana but fanya kile unachofurahia. All the best.
 
Soma geology mkuu iko na market worldwide kwa sasa. ..lakin ukisoma iyo computer asee utakufa njaa mtaani
 
Kwa upande wangu ningekushauri uchukue Computer science, japo graduates ni wengi ila ina wigo mpana wa ajira in the future!
Mifumo mingi inakuwa automated kutokana na maendeleo ya sayansi na technologia..
 
Bado atakuwa hai
 
Mkuu nchi yetu saiv inapanuka kiuchumi kupitia nyanja mbalmbal kwa mfano saiv tunategemea gesi pia tuna migod mingi tu nakushauli kasome geology utanufaika nayo baadae
 
Hongera sana. Ushauri wangu ni kuwa kusoma hiyo Geology. Narudia, kasema Geology. Hutakaa na kuanza kuzunguka mitaani kutafuta ajira!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom