- Thread starter
- #41
NitajaribuPia Kuna njia ya kuwavizia maboss nje ya ofisi sijui unaifahamu hiyo! Kuna watu tumeshapewa kazi tukiwa maeneo ya Bar na kumbi za starehe! Kila boss ukimkuta ofisini anajifanya siriaz kufuata taratibu za kiofisi na hayo wanayokufanyia wadada wa mapokezi siyo wao bali ni utaratibu wanaopewa na hao ma HR na mameneja. Mvizie nje ya ofisini ikiwezekana hata ukijua nyumbani kwake ni wapi jifanye kwenda kumtembelea mtaongea vizuri na kama kuna kazi unaweza kuikwaa