Recent content by ccf

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hichi chakula ni kitamu sana aisee

    Hongera
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Daa mwenye mke anaweza fungua codes kabisa kwa maelezo haya.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Watumishi kuondolewa ghafla katika Zoezi la Sensa si uungwana

    Mi mwenyewe mtumishi wa umma sema sio mbinafsi
  4. C

    JamiiForums Tanzania Watumishi kuondolewa ghafla katika Zoezi la Sensa si uungwana

    Mkuu wa wilaya kafanya vizuri, acha na wengine wapate chochote kitu.
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekubali yaishe, kumtongoza tu kaomba laki

    Mpe hata 20 ule mzigo, usikubali kulipa hela kubwa hivyo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mambo yaliyonishangaza katika mikoa ya Mbeya na Songwe

    Hapo namba 1 sio mbeya tu. Tabata kuna jamaa nilikuwa namuona anazungusha pakti za big g tu. Zile batook
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kanuna eti kisa hajapishwa siti ya daladala akae na mwanae

    Hatari sana
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya mwanasiasa kijana yalivyompa uchizi mwanaharakati wa Twitter

    Nani huyo aliyempiga chini? Mbona unaongea code sana?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan Dualis inatafutwa kwa bajeti milioni 9

    .
  10. C

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan Dualis inatafutwa kwa bajeti milioni 9

    Still searching
  11. C

    JamiiForums Tanzania Azam TV na tamthiliya ya kishoga. Je, wanalenga nini katika jamii yetu?

    Hata mm nilishangaa
  12. C

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

    Ajali kazini, pole yake mwamba
  13. C

    JamiiForums Tanzania Siku Mtanzania atakapotumia haki yake kumchagua kiongozi anayemtaka ndio tutaona Maendeleo ya Kweli Tanzania

    Siku watanzania wote watakapowajibika ndipo ccm itatoka madarakani. Upinzani walijaribu hawakuungwa mkono, mange alijaribu hakuungwa mkono. Kwa sasa tuendelee kuburuzwa kwanza akili za watu bado hazijaamka.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Plug Vs fuel consumption

    Endelea tafadhari
Back
Top Bottom