Recent content by Cc Pinye

  1. Cc Pinye

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wana wa Liverpool hamjambo?
  2. Cc Pinye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Woman love Risk Takers

    Ni kweli mkuu upo sawa.
  3. Cc Pinye

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wow hongera Sana, Hawa ndio wachezaji wa CHELSEA waliofika semi final Euro?
  4. Cc Pinye

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hello my fellow CHELSEA fans ..it's me from Singapore I miss you guys, I miss home sweet home Tz Kilimanjaro [emoji1241][emoji1241][emoji630][emoji630] Bado hatujasainisha yeyote?
  5. Cc Pinye

    JamiiForums Tanzania Black Americans wanaondoka Tanzania na hizi ndio sababu zao

    Hii ni kweli kabisa, nna ndugu zangu nawasiliana nap walitoka marekani na ijumaa hii wanaelekea Misri.
  6. Cc Pinye

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Hongera Sana mkuu nenda kapambane.
  7. Cc Pinye

    JamiiForums Tanzania Dhana ya Kumuinua Mtoto wa Kike ni bomu kwa Vizazi vijavyo

    Hautaweza kufanya hivyo. Siyo rahisi
  8. Cc Pinye

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotaka kujiua, soma hapa ujue namna ya kujizuia

    Wengine bado Yuko ughaibuni tunapambana mkuu. Hili suala la kujiua liko Kila mahali Hadi huku nilipo. Na Mara nyingi linawakutaa wanaume. Tatizo kuu no upweke na kukosa faraja. Huku Sasa unakuta mtu Ana Kila kitu anachohitaji mwanandamu. Lakini anajiua, huko nyumbani watu wanajiua kwa Sababu...
  9. Cc Pinye

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

    Mkuu umachinga Hadi huku watu wanapiga. Unakuta wa Nigeria wengi tu wametandaza mapochi chini wanauza Hadi euro 100 kwa pochi na polisi hawawafukuzi Ila wanawapa ulinzi kabisa. Pia Hadi wachina wengi ni wamachinga na wahindi na watu wa sri Lanka huko. Kwa ufupi umachinga upo Hadi ughaibuni mkuu.
  10. Cc Pinye

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Hongera pambana.
  11. Cc Pinye

    JamiiForums Tanzania Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

    Utapeli upo Sana mkuu, watu wawe makini. Mimi ni shuhuda Ila kitambo Sana. [emoji630][emoji630]
  12. Cc Pinye

    JamiiForums Tanzania Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

    Khabari watanzania wenzangu, nimekuwa nikifuatilia hii forum taratibu tangu imeanza. Kwanza niwape moyo wale wenye Nia ya kusafiri kutafuta maisha. Msikate tamaa pambaneni maana hata Mimi nimepita humo humo. Nilianzia Saudia, baadae nikaenda Vietnam, nikaenda Kuwait na Qatar nilifanya kazi Kama...
  13. Cc Pinye

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

    Khabari watanzania wenzangu, vipi uko nyumbani nasikia kumenoga [emoji3][emoji3] Jee mqzingara ya kufanya biashara yapoje kwa sasa?
  14. Cc Pinye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kugongewa ni siri ya ndani

    Khabari watanzania wenzangu, vipi uko nyumbani nasikia kumenoga[emoji3][emoji3]
  15. Cc Pinye

    JamiiForums Tanzania Nimekwenda DAWASCO Kimara, majibu nimepewa hadi nimemkumbuka mwenda zake

    Pole sana.
Back
Top Bottom