Kwa wanaotaka kujiua, soma hapa ujue namna ya kujizuia

So u legalize suicide?
Na hayo yote yatakuwa solved baada ya kujiua?
Okay its about him/me? Vip kuhusu hiyo familia alioianzisha tayar?
What is pain? Maumivu yataisha tu.

Ishu ni jinsi ya kuovercome hizo problems ila sio kwa kujiua.
Dont say maumivu yataisha tu hujampa mtu HOW

Hata nikueleze vp naona hunielewi
People think wanaojiua wanakimbia matatizo

Ila huwa hawaoni victims wamepambana sana kusolve hayo matatizo yao kwa njia zote wanazozijua na hawajapata suluhisho
Somebody js doesnt want to die
Kuna sababu
 
Kabisa nilisema naye hayo ila naomba mchek na wewe tumsaidie. Huku kuna 2nd chances mpka countless chances lakn huko kujiua na ni kukimbia kusikojuliakana and there wont be second chance.
Tujiulize ukiondoka duniani je huko unapokwende je mola wako atakua radhi na wewe ukikutana nae? Je atakusaidia maana uliona kifo ndio cha kukwepa haya matatizo? Unajua adhabu yake itakuaje? Allah atuongoze
Unajuaje
What if somebody wants to face God himself and talk to him abt his/her struggle?.
Usiombe ukafika point uko radhi ukamuone Mungu mwenyewe muongee in person mana maombi amesikia ila hajajibu ama majibu aliyokupa unateseka nayo

ukiwa suicidal kwenda kuonana na Mungu sio issue kwako
Ndio jambo unalohitaji utoke hapa duniani uende huko

NB:ushawahi pata shida ukaona heri ukatishe maisha yako?
 
Umewahi kuwa rejected by ua father, then remains the hope to a mother who gave birth to u na yeye aone she can not raise u alone aolewe then aamue kutetea ndoa yake akusahau, u turn to ua grandmother unaemjua akusogeze then aseme sina cha kukusaidia find your own way, una geukia ulimwengu then it pushes u to a distnce that u cant even measure(tofauti ya magharibi na mashariki)
Unafikiri how does a person survive these tragedy
its only the grace of the one who created you
Naelewa ugum zaidi ya wewe labda unavoelewa
 
Ngoja nikuache
Labda siku ukiwa tight ama mtu wakaribu yako yakimfika utaelewa

people js want someone to understand their pain we unaona ni upuuzi

Hakuna mtu ataelewa kiusahihi maumivu yako kuliko wewe mwenyewe, tusiwe watu wa kupenda kuonewa onewa huruma.. Tunasaka sympathy saana..

Mimi nishakuwa tighted, shida sio kufikiri kujiuwa shida ni kuyakubali hayo kama ndio uamuzi wa bora a.k.a solution, hatimae kujiuwa.
 
Mtu anaejiua hahitaji sympathy yako
Amepambana mwenyewe na anajiua mwenyewe
Na yeye peke yake ndo anajua the weight ya hizo changamoto
Yeye ndo anajua how much he/she tried to solve the problem
Know the difference!

hujawahi taka kujiua wewe ungeishanielewa
Ushafikiria hadi how u will do it?.the note u will leave behind.,nk..
Sio kitu that happens siku moja
Simply u sound as a person ambae hujawahi fika hio point na mtu akikufuata utadharau badala ya kumsaidia
Acknowledge the struggle and the problem first
 
Mtu anaejiua hahitaji sympathy yako
Amepambana mwenyewe na anajiua mwenyewe
Na yeye peke yake ndo anajua the weight ya hizo changamoto
Yeye ndo anajua how much he/she tried to solve the problem
Know the difference!

hujawahi taka kujiua wewe ungeishanielewa
Ushafikiria hadi how u will do it?.the note u will leave behind.,nk..
Sio kitu that happens siku moja
Simply u sound as a person ambae hujawahi fika hio point na mtu akikufuata utadharau badala ya kumsaidia
Acknowledge the struggle and the problem first

Ngoja nikuache
Labda siku ukiwa tight ama mtu wakaribu yako yakimfika utaelewa

people js want someone to understand their pain we unaona ni upuuzi

Acha nikuache tu, naona tunabishana, wewe unaongea mwenyewe kisha unakengeuka.. Ww ndio uliesema "people just want someone to understand their pain"
 
Bro hapa tunaelekezana wala hatu-battle.
Pia napenda kujifunza.

Okay niambie other reasons zinazopelekea mtu kujiua mbal na matatizo anayokutana nayo?
Mi ni mdada
Napata shida na hii topic mana yani watu wanaona wanaotaka kujiua ni wajinga
Google literatures on suicide in relation to mental health maybe utaelewa zaidi

bt js knw people are not crazy wameelemewa to the point they cant take it
The last thing kumuita huyu mtu mjinga hutamsaidia
If u want to help acknowledge WHY anataka kujiua mcomfort hapo
 
Acha nikuache tu, naona tunabishana, wewe unaongea mwenyewe kisha unakengeuka.. Ww ndio uliesema "people just want someone to understand their pain"
U dont understand their pain ndo mana unaita UFALA
Ungeelewa ungejua nnachosema
Wanaojiua sio MAFALA!!
Unahukumu unasema mtu wants cheap sympathy bla blahh
Unadhani mtu akizongwa atahitaji hata kuongea na wewe for any sympathy?.mtu ukishamuita FALA can they even talk to u?can u even listen to shida yake?. Wkt ushajudge ni Ufala?.biased from the beggining

jisomee zaidi on suicide maybe utaboresha mtizamo
 
Labda tuongeze uelewa on Suicide and why people do it ndo tuje kwenye solutions,kusaidia ama kuhukumu watu wanaojiua

links above are supported na research mbalimbali on the subject
 
Kuna kipindi nilikutwa na hali hiyo kutokana na ugumu wa maisha uliopitiliza. kila nilichokuwa nikifanya kiliishia pabaya(japo mpaka sasa sina maisha mazuri) Nilikuwa nalala na njaa,sina hata mwelekeo,mtoto amedhoofu kwa utapiamlo,wife mjamzito,vibarua sipati na nikauza mpaka vitu vya ndani ili kulipa madeni na kuhudumia tumbo. Siku moja nikaona hapana bora nife tu(wazo la kujiua halikuja ghafla,ni la muda mrefu)nikakopa elfu 10000 kwa kaka yangu nikamwambia naenda kununua chakula cha familia, nikaenda kununua vidonge vinaitwa flajiri na dawa za usingizi nikaenda kununua kiroba kinaitwa faru cha 2000, nikanywa Ilikuwa mida ya saa 2 usiku kuelekea saa 3,nikawahi home ili nikafie ndani kwangu,nilikuta wife na mtoto wamelala baada ya kunywa uji.Hapo tumbo lilikuwa limeanza kuniuma balaa na usingiz unakuja kwa kasi. Nilijikuta nimelala mpaka saa5 asubuhi,pembeni yangu nikamkuta mwanangu amekaa pembeni yangu akinisubiri niamke ili tucheze pamoja,mama yake alikuwa kajidamka kwenda kutafuta
Dah aisee, maisha hayaaa, Mkuu ungeacha familia ikiteseka.
 
Wadau hii hali ya kutaka kujiua nnayo
Sioni furaha ktk maisha yangu, kila siku maisha yanazidi kuwa mabaya, siwez kujutia uhamuzi huu
Zipo sababu nyingi zinazonisukuma kufanya hivi
Nimebakiza siku chache za kutafakari kifo changu
 
Bro vipi? Pande zipi man?
 
Wengine bado Yuko ughaibuni tunapambana mkuu. Hili suala la kujiua liko Kila mahali Hadi huku nilipo. Na Mara nyingi linawakutaa wanaume. Tatizo kuu no upweke na kukosa faraja.

Huku Sasa unakuta mtu Ana Kila kitu anachohitaji mwanandamu. Lakini anajiua, huko nyumbani watu wanajiua kwa Sababu wanakosa maisha mazuri. Sasa wakati mwingine najiuliza Nini kinamsukuma mtu kujiua?

Anyway Mungu atuepushe na hii Hali maana changamoto ziko Kila Kona.
 
Acha ujinga.. Unadhani kujimaliza ndio tatizo, fikiria matatizo yako ukijiua uzito kiasi gani unaenda kwa wale wanaokutegemea, kiasi gani unawaacha na majonzi..

Mtume s.a.w anasema, usijilinganishe na wajuu yako, jilinganishe na wachini yako... Utaona neema za mola kwako..
Kama ni maradhi kuna watu wana maradhi ya hatari huko mahospitalini, kama ni dhiki, kuna watu wan dhiki za kila rangi we mpaka simu ya kuchat jf unayo
Kama ni stress za mapenzi, umechukuliwa demu/mke ndio we ukijiua na kikojoleo chake unaondoka nacho!!? , we unakufa huku duniani watu wanaendelea kuruka nae vizuri tu
Pambana maadui zako siki wakuheshimu
Kama ni kufirisika, kuna watu wamefirisika si mchezo..

Kwangu kujiua ni wazo la kifala zaidi kuliko mawazo yoote, labda mtu aliyerogwa..
Mfikirie mzazi wako yupo, fikiria wanao kama wapo n.k

Shida tumeumbiwa sisi, hiyo ni mitihani tu na lazima tuishinde.

Achana kabisa na huo ufala kaka.

Jama jama jama, mie najitolea kwa yeyote yule mwenye fikra za kujiua, kumsaidia kadri niwezavyo... Uwe na ndugu jamaa au rafiki usisite kunicheki
I second to you man,mtu asifikie kujiua kabla ya kujikutanisha na watu!! Suluhu ya matatizo yako iko kwa watu kwa mkono wa Mungu,aisee,nipo msibani, tunampumzisha mama yangu kesho!!
 
I second to you man,mtu asifikie kujiua kabla ya kujikutanisha na watu!! Suluhu ya matatizo yako iko kwa watu kwa mkono wa Mungu,aisee,nipo msibani, tunampumzisha mama yangu kesho!!
Pole ndugu yangu... Kila nafsi itaonja umauti, sisi sote kwake tutarejea, kikubwa ni kuzidisha maombi mpendwa wetu apate pumziko.
 
kujiua ni mwendelezo wa ubinafsi alionao binaadam.kuna kipindi binti niliyempenda na kuwa naye ktk uhusiano,aliniandikia tu sms"sikupendi fulani nina boyfriend nampenda tayari"hii sms ilikubali kuingia kichwa baada ya mwezi,baada ya kupiga simu,sms hazijibiwi.nikaanza kukosa nuru rohoni na kukonda kwa kasi sana,hamu ya msosi ikakata,kila nikimuona facebook anampost na mpenziwe natamani nawaza mambo mengi sana,labda kazi niliyo nayo!!!au sikuwa nampa hela sana!!labda sijui kuvaa kama jamaa yake!!,lakini baadae sana nikashtuka kwamba haya ni mawazo tu nawaza mimi kama hajanambia yeye sababu na hataki kupokea hata simi zangu basi,landa ni kweli hanipendi wacha nimwache kwa amani.baadae nikaja gundua kumbe najiendekeza,mademu ni wengi sana na maisha lazima yandelee.

binafsi kwa sasa nina watoto wawili+mke,ndugu zangu 4 wa tumbo moja,baba na mama yangu,wote hawa wataumia zaidi ya ninavyoumia mimi wakati maumivu hayo yananipeleka huko yakifanikiwa.

njia bora ya kupanchi haya majanga ni kushirikisha watu wako wa karibu,hao nilio wataja kwa upande wako,marafiki wa karibu jamaa na wasela wako mnaojuana japo kwa uchache,utajua ni kiasi gani kujiua ni uamuzi wa hovyo.

1.unajiua kwa kuachwa na mpenzi,kuna wenzako walimfuma ndani na maisha yaliendelea.

2.unajiua kwa kukosa kazi,kuna mtu hana hela hata ya kununja chakula,na bado ana tumaini na kesho.

3.unajiua kwa kuwa kilema ama muonekano mbaya,nguruwe anachukiwa na dini nzima na ndio kwanza ananenepa,jifunze kujipenda kwanza.

4unajiua kwa kukataliwa na ndugu,kuna watu wanaenda nchi za watu huko hawana hata mtu wanayemjua,wanaota na vitambi,bro unafeli.

5.unajiua kwa majibu mabaya ya vipimo vya hospital,kuna watu wamepewa majibu wamebakiza masaa kadhaa wafariki,na bado wana tumaini.

ni uamuzi wa hovyo sana kuwaza kujiua.
3dd468ac7b7adae557ad24aa0872338c.jpg
 
Back
Top Bottom