kiukweli hawa watu wa usafirishaji wana mambo mengi, mm kuna siku nlipakia vyombo amabvyo ni vya mtumba kwa ajili ya biashara nilinunua toka zanzibar, baada ya kutoka zanzibar nikaenda pale jangwani zipo fuso wanazofarisha bidhaa karibia miko yote ya hapa Tanzania. Tukakubaliana malipi na mzigo...
Karibu Lutindi Mental Hospital mkuu hakuna shaka hilo tatizo lako watalipatia namna sababu kuna wengine ambao huwa hawalali kabisa na wapo mule na.wanapata utatizi, kwahivyo hata wewe nina imani utapata tiba hapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.