Soma hii muhimu sana

Soma hii muhimu sana

Wakuu , habari zenu

mi naitwa baba swalehe , wakuu bhana mi na shida kubwa

Teh ...

Dah kwenye maisha yangu nmekua na shida kubwa ya kusinzia na kulala kupitiliza yaani na kutokua na hofu na kitu chochote yaan kutake vitu easy sana

Ntawapa story fupi ya jinsi nlvyoachwa na magari ya mikoani , maana ni mara nyingi sana ntasimulia kwa ufupi

1. Mara ya kwanza enzi hizo nipo form three , nimelala guest house
Nakuja kushtuka saa mbili kamili asubuhi , nkawaomba wanisaidie nisafiri hivyo hivyo kesho yake

Wakakubali , ile kesho ake bhana nikajihimu ani nikaamka saa saba kamili usiku , kwenye saa kumi nkashikwa na usingizi mzito sana , nachokumbuka maana nlkaa kwenye kiti nilidondoka

ndo nkashtuka nkawah stand nkakaa nikalala tena

Muda wa safari sasa , tumefika pale iringa kuchimba dawa eeh mzee , mi nmewaambia na tatizo la kutake vitu easy sana , wametuambia dakika tano tunachimba dawa !

Mi nkatake easy nmeshakojoa nkaanza kuchezea chezea mbao flani pale nakumbuka nlkua na spana mfukon maana nlkua nasoma shule ya tech , iyunga boys

Eeh bhana , gari likaniacha ...

Kilichotokea acha hilo sitowasimulia

2. Tukio la pili , baada ya mfululizo wa kuachwa na magari mara kibao yaani mara nyingi sana , yaani mara nyingi aisee

Nikaona isiwe taabu leo nilale stand kabisa , teh kwenye saa 4 nkajongea stand ubungo , sa magari ni mengi mi nkacheki plate namba fasta fasta nkaingia nkalala tusisumbuane yaani nlkua nataka nkiamka tu nkutage gari linatembea

Eeh mzee , kumbe nmepanda gari sio , hafu halisafiri siku hiyo manina walahi

Nakuja kushtuka saa moja jamaa mmoja ananiamsha anataka kusafisha gari

Aah namuulza eeh bhana eeh , tushafika , hili gari lina speed sana mheshimiwa

Ndo jamaa akawa ananshangaa namnukuu " we boya acha ujinga tusileteane nuksi "

Aisee nlisikitika sana

Nkaamua nmtafte mama angu nmuulze kuhusu hili tatzo

Mama angu akaanza kunambia " mwanangu unakumbuka shule ya msingi ulkua unalala na uniform ili ukiamka tu uende shule "

Nlcheka sana alvyonkumbushia hyo story

Nkaamua nimuache , nkamuulza mzee yaan mzee naye ni masihara sana

Akanambia matatzi kwenye maisha ako hasa haya yalianza " jamaa mmoja alipokuletea jezi ya yanga ulivyokua mdogo sana " teh nlcheka maana kweli mi ni mnazi wa yanga

3. Hii sisahau na kelelle zote za national stadium kwa mkapa nlisinzia mpaka mechi inaisha , hili huwa sisahau

Yaan wakuu nkiwa loose tu , nasinzia ani

Ni tatzo linalonitesa sana yaan sana ani

kwenye mitihani nakumbuka nlkua nafanya haraka haraka ili nimalize nilale fasta nisinzie , nashukuru Mungu sijawahi kufeli maana watu wa ufundi wanaijua engineering science o level nlipata A , ila nlimalza ndani ya masaa mawli niwahi kulala niegemee desk niupindishe , advance nkaenda pcb mambo ndo yakawa yale yale yaani nalala mno kwenye paper ila matokeo yakija nipo top 3 , yaan hapa kuna watu watantambua

Wengine wakaanza kusema mi mchaw nawaabia kwenye mtihan
Ila mungu mkubwa nkamalza nkaenda chuo nkamalza ila hali ni ile ile

yaani siwezi kuwa serious kabsa na kitu , hapa wife katoka kaniacha mtoto analia kinoma yaani swalehe kanshauri tuliache lilie maana hatujui kanataka nini , yaani kanalia n'ga n'ga n'ga tunakauliza hyo n'ga ni nini kanatutolea macho tumekaacha room najua katatambaa kutufuata dining , katuambie shida ake

wakuu nisaidieni nifanyeje maana hapa sitaki kuongelea jinsi nlivyopitilizwa vituo enzi hizo kwenye daladala yaani ni mara kibao sana

Yaani nisaidieni nifanyejw huu usingizi uishe maana aisee , nakumbuka hadi siku ya harusi angu saa nne nkawa nasinzia ukumbini sema wife alnipendea huo huo usingizi , saa tano tukaondoka

ila ile nmeona naniii , eeh hapo usingizi uliisha teh

Nsaidien bhana wakuu sijui nfanyeje hii thread nmeandika huko nasnzia snzia sana maana nmeanza kuiandika saa tisa mchana
Kama unasinzia ivyo na ushuzi haukuponyoki hamna shida.

Mimi hapa hadi hua naamua kutokulala hata siku tatu au nne niukusanye usingizi ili nikija kulala niufaidi.
 
Karibu Lutindi Mental Hospital mkuu hakuna shaka hilo tatizo lako watalipatia namna sababu kuna wengine ambao huwa hawalali kabisa na wapo mule na.wanapata utatizi, kwahivyo hata wewe nina imani utapata tiba hapo.
 
aliyesenzia taifa ni Le mutuz,tuambie kama mna uhusiano wowote.

ila mkuu ukisinzia unakoroma,kama haukoromi basi hamna tatizo sana.
 
Wewe mzee wa comedy weka kapicha basi.
Hako apo kamwanangu swalehe
tapatalk_1556806351687.jpeg
 
Wakuu , habari zenu

mi naitwa baba swalehe , wakuu bhana mi na shida kubwa

Teh ...

Dah kwenye maisha yangu nmekua na shida kubwa ya kusinzia na kulala kupitiliza yaani na kutokua na hofu na kitu chochote yaan kutake vitu easy sana

Ntawapa story fupi ya jinsi nlvyoachwa na magari ya mikoani , maana ni mara nyingi sana ntasimulia kwa ufupi

1. Mara ya kwanza enzi hizo nipo form three , nimelala guest house
Nakuja kushtuka saa mbili kamili asubuhi , nkawaomba wanisaidie nisafiri hivyo hivyo kesho yake

Wakakubali , ile kesho ake bhana nikajihimu ani nikaamka saa saba kamili usiku , kwenye saa kumi nkashikwa na usingizi mzito sana , nachokumbuka maana nlkaa kwenye kiti nilidondoka

ndo nkashtuka nkawah stand nkakaa nikalala tena

Muda wa safari sasa , tumefika pale iringa kuchimba dawa eeh mzee , mi nmewaambia na tatizo la kutake vitu easy sana , wametuambia dakika tano tunachimba dawa !

Mi nkatake easy nmeshakojoa nkaanza kuchezea chezea mbao flani pale nakumbuka nlkua na spana mfukon maana nlkua nasoma shule ya tech , iyunga boys

Eeh bhana , gari likaniacha ...

Kilichotokea acha hilo sitowasimulia

2. Tukio la pili , baada ya mfululizo wa kuachwa na magari mara kibao yaani mara nyingi sana , yaani mara nyingi aisee

Nikaona isiwe taabu leo nilale stand kabisa , teh kwenye saa 4 nkajongea stand ubungo , sa magari ni mengi mi nkacheki plate namba fasta fasta nkaingia nkalala tusisumbuane yaani nlkua nataka nkiamka tu nkutage gari linatembea

Eeh mzee , kumbe nmepanda gari sio , hafu halisafiri siku hiyo manina walahi

Nakuja kushtuka saa moja jamaa mmoja ananiamsha anataka kusafisha gari

Aah namuulza eeh bhana eeh , tushafika , hili gari lina speed sana mheshimiwa

Ndo jamaa akawa ananshangaa namnukuu " we boya acha ujinga tusileteane nuksi "

Aisee nlisikitika sana

Nkaamua nmtafte mama angu nmuulze kuhusu hili tatzo

Mama angu akaanza kunambia " mwanangu unakumbuka shule ya msingi ulkua unalala na uniform ili ukiamka tu uende shule "

Nlcheka sana alvyonkumbushia hyo story

Nkaamua nimuache , nkamuulza mzee yaan mzee naye ni masihara sana

Akanambia matatzi kwenye maisha ako hasa haya yalianza " jamaa mmoja alipokuletea jezi ya yanga ulivyokua mdogo sana " teh nlcheka maana kweli mi ni mnazi wa yanga

3. Hii sisahau na kelelle zote za national stadium kwa mkapa nlisinzia mpaka mechi inaisha , hili huwa sisahau

Yaan wakuu nkiwa loose tu , nasinzia ani

Ni tatzo linalonitesa sana yaan sana ani

kwenye mitihani nakumbuka nlkua nafanya haraka haraka ili nimalize nilale fasta nisinzie , nashukuru Mungu sijawahi kufeli maana watu wa ufundi wanaijua engineering science o level nlipata A , ila nlimalza ndani ya masaa mawli niwahi kulala niegemee desk niupindishe , advance nkaenda pcb mambo ndo yakawa yale yale yaani nalala mno kwenye paper ila matokeo yakija nipo top 3 , yaan hapa kuna watu watantambua

Wengine wakaanza kusema mi mchaw nawaabia kwenye mtihan
Ila mungu mkubwa nkamalza nkaenda chuo nkamalza ila hali ni ile ile

yaani siwezi kuwa serious kabsa na kitu , hapa wife katoka kaniacha mtoto analia kinoma yaani swalehe kanshauri tuliache lilie maana hatujui kanataka nini , yaani kanalia n'ga n'ga n'ga tunakauliza hyo n'ga ni nini kanatutolea macho tumekaacha room najua katatambaa kutufuata dining , katuambie shida ake

wakuu nisaidieni nifanyeje maana hapa sitaki kuongelea jinsi nlivyopitilizwa vituo enzi hizo kwenye daladala yaani ni mara kibao sana

Yaani nisaidieni nifanyejw huu usingizi uishe maana aisee , nakumbuka hadi siku ya harusi angu saa nne nkawa nasinzia ukumbini sema wife alnipendea huo huo usingizi , saa tano tukaondoka

ila ile nmeona naniii , eeh hapo usingizi uliisha teh

Nsaidien bhana wakuu sijui nfanyeje hii thread nmeandika huko nasnzia snzia sana maana nmeanza kuiandika saa tisa mchana
Duh we noma. Wapne wataalam wa saikolojia.
 
Karibu Lutindi Mental Hospital mkuu hakuna shaka hilo tatizo lako watalipatia namna sababu kuna wengine ambao huwa hawalali kabisa na wapo mule na.wanapata utatizi, kwahivyo hata wewe nina imani utapata tiba hapo.
Siipo huko nchin

Mzee
 
Mimi mwenyewe nishaachwa na basi Mara kadhaa mkuu; siku hizi nisha acha kukuta ticket mapema; huwa nazikitia apo apo navyoondoka.

Sleeping sickness Mimi pia kuna mda inanichukuaga sana;/ kama nikiwa idol sina kazi za kunichangamsha apo jua kinafuata nikupiga usingizi tu
 
Back
Top Bottom