Kamwe sitomsahau huyu mama aliyeninunulia chakula pale babati(HOTEL) nilipokuwa natoka Dodoma to Arusha

UDOM waanze kutoa darasa kwa watumiaji wa KISWANGLISH. Unazijua AIRPHONE wewe au huyo mama ana sikio kubwa kiasi cha kuvaa hiyo simu?
 
Anza na kumshukuru rafiki yako aliyekuambia panda gari atakutumia nauli.bila huyo usingekutana na huyo mama.vipi lakini rafiki yako alipatikana?
 
Vipi mkuu hukumshukuru wakati anakupa lunch ya nguvu unakuja kumshukiru huki

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taratibu zetu zilivyo, bila shaka alimshukuru yule aliempa msaada siku hiyo ya tukio, na leo amejisikia tena kutoa shukrani zake za dhati.

Huwa inatokea, unaweza ukakaa na ukakumbuka fadhila fulani ulizofanyiwa na ukaona ile Ahsante ya pale ilikuwa haijatosha.

Kwahiyo mleta MADA ameonelea vyema aendelee kutoa shukrani zake za dhati
 
Wakuu habari zenu.

Napenda kumshukuru huyu mama aliyeninunulia chakula pale babati stand pamoja na kunijazia nauli ya bus la (machame) nilikuwa nimetoka kuchukua certificate yangu pale UDOM. nikapanda bus pale stand ya machame nikitegemea kujazia nauli mbeleni mana kuna rafiki yangu aliniahidi kunijazilishia ila baada ya kumwambia nimeshapanda bus akawa hapatikani tena ndipo mama mmoja mzuri pembeni ya siti yangu alipogundua na kukubali kunijazia hiyo pesa,(ubarikiwe sana mama ulikuwa unatumia iphone huku umeweka airphone maskioni) pia ulinipiga lunch ya nguvu pale babati

Mungu akubariki sana mama popote ulipo .nakumbuka ulishukia majengo,nakutafuta sana mama popote ulipo MUNGU akuzidishie

#kuna watu wana moyo mzuri sana hapa duniani

@samahanini kwa mwandiko wakuu nipo speed mno
Alishukia Majengo? Basi huyo ni mrangi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana mkuu tena kwa sauti
Nilichotaka kuandika,umeniwahi mkuu
Jamaa alishindwa kuomba namba ila leo kakumbuka baada ya kitaa kukosa ajira na maisha magumu,kaona amkumbuke yule mama na hajui atampataje
Anataka kulelewa kijana hahahahaha
Nimecheka sana,anajifanya kuja kushukuru jamii forum
Kweli maisha mqgumu jamani daah
Oyaaaa jiwe wape ajira vijana wataolewa bureee
 
Hapo anatamani vitu vingine.Yule alikusaidia tu.Kama muelewa usirudie tena kupanda gari ukiwa na nauli pungufu kwa kumtegemea mtu akujazie ukishuka.Utakuja kuolewa bure.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
#PayItForward

1588839906034.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom