Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,888
- 143,985
Katika utafiti wangu usio rasimi,nimegundua kuwa baadhi ya watu wa mkoa wa Tanga unaweza ukawagundua kwa rangi ya ngozi yao ambao wengi ni weupe ile wana feature moja ya zaidi na ambayo ni ya kipekee na hii si nyingine bali ni ile inayohusiana na maumbile ya midomo yao.
Ukiona mtu ni mweupe alafu ana maumbile ya mdomo yasiyo ya kawaida(mfano lips kuwa kubwa au kujitokeza zaidi kwa mbele,n.k) basi kuna uwezekano mkubwa kuwa mtu huyo ana asili ya mkoa wa Tanga.
Mfano mzuri ni waziri mmoja ambae ni mwenyeji wa mkoa huo na maumbile yake ya mdomo yana muonekano wa tofauti kidogo na maumbile ya kawaida ingawa si kilema au kasoro kubwa ya kumfanya mtu aonekane ana kasoro katika mwili wake.
Hili ninalolisema,huenda watu wengi tu wanaliona kwa maana ya kuona watu wenye midomo hii ila wakiona wanaona alafu wanasahau,wanaona kawaida tu, hawafuatili au kuchunguza hivyo sio rahisi kugundua unlless umechunguza.
Fanya utafiti na wewe utagundua hili ninalosema.