Recent content by Catastrophe 01

  1. Catastrophe 01

    Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

    Pilau.chips.kuku.samaki.baga.piza.biriani.ndizi.cake.chocolate.icecream😥 mdomo wangu unapenda vitu asili😛
  2. Catastrophe 01

    Mmekutana baa na ex wako..je utamshukuru dj kwa wimbo gani

    Mgeni sasa ameingia by marehemu komba
  3. Catastrophe 01

    Rayvanny amuwakia vibaya Harmonize kwa kumtumia picha za utupu Paula

    Watu mada km hizi wanapapulikaa😡 tena unakuta mengne mijitu mizima😂😂 na familia juu lkn akili km kisoda.
  4. Catastrophe 01

    Introduce yourself with last thing you ate.

    Aliyeelewa atoe tafsiri😬 wengne tumeushia la 1B
  5. Catastrophe 01

    Unafanyaga nini kupunguza hasira zako?

    Nafanya mapenz😒 tena hasira ikizidi naziba macho naenda buza kwa mpalangee😔 nikitoka hapo mwepesi na hasira sina😎
  6. Catastrophe 01

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Maghala gan😬 saivi c tuko uchumi wa kati😥
  7. Catastrophe 01

    Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

    😂😂😂kiuhalisia ku discuss hii mada ndo kunachocheaa vitendo hivi. Ila wabongo niwa nafiki 99% wanajifanya walikataa kusagwa au kusagana au kulawitiwa au kulawiti. Au kulawatiana. Ila ukweli nikwamba saivi straight people wamepungua hivi vitendo vimeshamiri na watu wana comments for fun ila ukweli...
  8. Catastrophe 01

    Makapuku Forum

    CAG wa makapuku nipo stay tuned kwa taarifa.
  9. Catastrophe 01

    Kikao cha usengenyaji

    Ngoja niagize porp corn nione usengenyaji unavyoendelea. Maana unafik umekoleaa
  10. Catastrophe 01

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mvua hii mwenye shamba aniazime nataka nilimee.. nishakula karanga na alkasusu.. final nimefunga dimba😠
  11. Catastrophe 01

    Management and Development for Health (MDH) Jobs, April 2021- (5 Various Posts)

    Hili shirika nahisi linataka attention tu. Na wana watu wao tayari maana kuna kipind nilimpelekea application dogo nikakuta wengne maombi yao yanachukuliwa kwa simu😂mtu anafika MDH HQ anapiga simu staff anakuja kuchukua bahasha wengne mnaacha mapokezi au kwa mlinzi.
  12. Catastrophe 01

    Connection ya mafunzo kwa vitendo(field)

    Kama field hivi ushawaza ajira itakuwaje😆 jiamin. Na ukienda kwenye ofisi usiache barua ya field kwa mlinzi au mapokezi omba kuonana na department husika ukishindwa hata hr au manager. Mostly top rank staff hawana shida. Kimbembe nihawa wanaopokea hela ya mboga😬
  13. Catastrophe 01

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Endelea kuota. Ila kwenye ndoto ukiona choo usikitumiee😉
  14. Catastrophe 01

    Narudi kwenu ndugu zangu kwa mara nyingine tena: Natafuta kazi yoyote halali

    Unge jaribu kwenye viwanda. Kazi sio lazima ukae kwenye viyoyozi.
Back
Top Bottom