Daaah hiyo itasaidia sana hata kuepusha makundi ya vijana waliokata tamaa na kuanza kushawishika kuingia kwenye makundi ya kuharibu amani ya nchi yetu eti oooh maisha magumu, tunaitisha mgomo juu ya serikali so parents should teach their young to depend on themselves
Kwani diamond platnumz tangu alivyokuwa na ulezi wa Paul makonda kwani fan base yake imepungua?? Kama sio basi watu 4 million ambao wanamsupport yeye wataendelea kumsupport tu, mziki ni kitu ambacho kinatuburudisha tukiwa na huzuni hata uchovu so tutaendelea kumsupport diamond platnumz simbaaaaa
Kwani rais kuzindua ukuta Kuna ubaya... Kwa maana nyinyi si mmemtuma akafanye kazi ikulu, halafu kwani akizindua yeye Kuna ubaya gani au akizindua waziri au mkuu wa mkoa Kuna kitu kitabadilika?? Jamani halafu sio kila kitu tunabeza vyengine tuviache
Unajua ukisema watu hawapandi hizo ndege kutokana na ugumu wa maisha, but ukiangalia Kwani wangapi wanakwenda kufanya utalii wa ndani sisi kwa sisi, so sio lazima Kwamba eti Mtu apande ndege LA hasha serikali imefanya sana kukuza utalii wetu kwa wageni vile vile kupata na kuoongeza pesa za...
Hivi jamani hamjui kama Tanzania and China we cooperate to each other because Kuna kitu called international integration kwahyooo wachina Kuja bongo kawaida ndugu zangu
Halafu hivi una statistics za nchi zenye uchumi mkubwa.... Halafu jiuulize kwanini nchi ya INDIA ni nchi ya 5 kwa kuwa na uchumi mkubwa halafu watu wake ni maskini sana.... Daaaaah jamani ww kuwa na pesa nyingi sio ndo uchumi unakuwa Bali unaporomoka
But kutokana na huu upinzani hata siku tukaamua tuwe na rais mmoja Africa nzima I thinks bado watu watahitaji au wataendelea kuleta upinzani ambao Hauna hata umuhimu katika bara but nahisi yote ni kwasababu ya conformist of interest to several people in our continent.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.