Recent content by casagrande

  1. casagrande

    JamiiForums Tanzania Songwe: Waliokuwa wakichimba dhahabu watimua mbio na kulitelekeza greda

    marekebisho sio greda ni WHEEL LOADER
  2. casagrande

    JamiiForums Tanzania Aslay na Nandi Mmeuharibu wimbo wa "Sabah-al-kheir mpenzi"...

    kaka Ray c angeutendea haki
  3. casagrande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwahi kudanganywa na kumtumia msichana nauli halafu hakuja?

    mimi mwaka jana nilikuwa mbalamwezi beach demu yupo mbweni akaniambia anatamani aje ila gari yake haina mafuta mzee nikatuma 30,000 alafu hakutokea
  4. casagrande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    kama hujapata hadi leo ni PM
  5. casagrande

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Malkia Elizabeth imefikisha miaka 70 leo

    The line of succession SOVEREIGN 1. The Prince of Wales (Prince Charles) 2. The Duke of Cambridge (Prince William) 3. Prince George of Cambridge 4. Princess Charlotte of Cambridge 5. NEW BABY 6. Prince Henry of Wales (Prince Harry) 7. The Duke of York (Prince Andrew) 8. Princess Beatrice of York...
  6. casagrande

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Malkia Elizabeth imefikisha miaka 70 leo

    Prince Charles of Wales
  7. casagrande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Skinny girls ni kila kitu!

    Halafu hawachoshi kitu easy to carry
  8. casagrande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katerero/Kunyaaza: Rwandese, Haya women like to ejaculate during sex!

    mkuu ni kijiji tu
  9. casagrande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katerero/Kunyaaza: Rwandese, Haya women like to ejaculate during sex!

    zamani kulikuwa na gulio kubwa sana ila nowadays hakuna
  10. casagrande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katerero/Kunyaaza: Rwandese, Haya women like to ejaculate during sex!

    muelekeze kama unatoka bukoba mjini kuja muleba ukitoka kietema kulia kuna njiapanda ya kanazi hadi katerero ni kijiji tu
  11. casagrande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katerero/Kunyaaza: Rwandese, Haya women like to ejaculate during sex!

    kawaida wenyewe wana starehe yao ambayo inasababisha godoro kuloa so wanazuia me nimeishi huko 1yr nilikuwa kwanye ujenzi wa airport
  12. casagrande

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe katika Majeshi yetu hakuna Karakana na magari hutengenezwa na Kampuni za Wahindi zitakazojitokeza

    mkuu wanazo karakana kama polisi wanayo pale kurasini wana wataalam hadi wa radio calls na mafundi ila kilichofelisha hizi karakana ni uongozi maana nilichogundua kwa kipindi kile hata hao mafundi hawakuwa wanajaliwa na viongozi
  13. casagrande

    JamiiForums Tanzania Operesheni "Gothic Serpent"!!!!!

    mkuu unakatisha utamu au tuchangie bundle
  14. casagrande

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe katika Majeshi yetu hakuna Karakana na magari hutengenezwa na Kampuni za Wahindi zitakazojitokeza

    zipo ila hawaziboreshi ili wapate nafasi ya kutoa tender
Back
Top Bottom