Recent content by Caritha

  1. C

    JamiiForums Tanzania Chapati ya Kichina, mmea unaoishi kwenye maji, Kombucha/tea mushroom

    Nimefurahi sana kuona mada kuhusu huu mmea, nakumbuka miaka ya 90's tuliwahi kuutumia nyumbani na mama alisema kuwa aliutoa kwa bibi. Mama ameshafariki na nilitamani kweli kujua huu mmea chapati ni nini haswa lakini kila nikimuuliza bibi anasema haujui. Nimefurahi ku
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Arusha una wilaya masikini sana

    Naona mnaendeleza kampeni ya chuki dhidi ya Arusha. Watu mnajua kabisa sababu ya maendeleo mahali fulani ni serikali halafu mnakaa kupondea mkoa. Ok mfano ujenzi wa fly overs train ya umeme zilizopita Dar unafikiri Arusha au mikoa mingine nao hawapendi? It is just a matter of priorities and...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Soko kuu Arusha halina hadhi ya kuitwa soko kuu

    Well said! Arusha imetengwa sana kwenye maendeleo hasa miundo mbinu. Imagine mkoa wenye vitega uchumi vya kutosha halafu miundo mbinu ni yaajabu kabisa. Bus station za Arusha zinasikitisha. Inabidi serikali ikumbuke Arusha katika hili, irudishe fadhila
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mi nililia kwa hasira,wewe je??

    Eeh makubwa haya
  5. C

    JamiiForums Tanzania Unamzungumzia Diamond, humjui AY?

    Mimi nimewazd domo na ay
  6. C

    JamiiForums Tanzania Holliday Inn DSM mnawagongea wateja ovyo usiku, sio kila mtu malaya.

    Hahahaa jf bwna hukoc kucheka uu
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania heeee si nimekosea meseji ya hawara nikamtumia bwana angu...............

    mmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhh umeniacha hoi:whistle::whistle:
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania heeee si nimekosea meseji ya hawara nikamtumia bwana angu...............

    hapo napo nachanganyikiwa ngoja niulize kitu hivi bwana ni mume au?
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania heeee si nimekosea meseji ya hawara nikamtumia bwana angu...............

    khaaaaaaaaaaaaa:confused:
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania heeee si nimekosea meseji ya hawara nikamtumia bwana angu...............

    jamani juzi kati nilikuwa saloon fulani ya kike mara akaingia dada mmoja akkaanza kumwadithia mwenziye.... hee shoga mwenzangu nimenuniwa huko si nimekosea kutuma meseji ya hawara wangu nikamtumia bwana angu, sasa mimi nashindwa kuelewa hivi ni sifa mtu kuwa na hawara halafu unajisifia mbele za...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kumbe Chris Brown anavuta bangi.

    awwww jaman kaka:confused:
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hawa ni top 15 wenye makalio makubwa ndani ya hollywood na utajiri wao

    mh mbona kama udhalilishaji vile na mkishajua kuwa wana ******** makubwa kuna faida gani?:nimekataa
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wendy William's shades Beyonce

    it does not matter what ever she say is just like nonsense beyonce is a real star 4 rever i will love her wherever she is on the stage she put it on fireeeee:target:
  14. C

    JamiiForums Tanzania Muhindi aliyesilimishwa!!!!

    Mhu mecheka
  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akhaaaa babu! Mwanaume gani kila akifikia mshindo lazima ajambe!

    Haahaa wat a gr8 thread
Back
Top Bottom