heeee si nimekosea meseji ya hawara nikamtumia bwana angu...............

heeee si nimekosea meseji ya hawara nikamtumia bwana angu...............

makubwa! hicho ni kiherehere chake
 
jamani juzi kati nilikuwa saloon fulani ya kike mara akaingia dada mmoja akkaanza kumwadithia mwenziye.... hee shoga mwenzangu nimenuniwa huko si nimekosea kutuma meseji ya hawara wangu nikamtumia bwana angu, sasa mimi nashindwa kuelewa hivi ni sifa mtu kuwa na hawara halafu unajisifia mbele za watu bila aibu? tulizana tuko wangapi?:angry::A S cry:
hawara mbona ni jambo la kawaida tu. sioni sababu ya wewe kushindwa kumuelewa. kujisifia mbele za watu na kumiliki hawara kimya kimya yote sawa tu. kama kuwa ktk mazingira hatarishi, wote mpo. wewe huna hawara????
 
jamani kwenye hil.i jamvi usipokuja na za kwako za kuchanganya itakula kwako mazima kuchukua za mbayuwayu
 
maisha yenyewe mafupi hebu wacha wapate raha za kuonja mavituzi na kupata style mpya nyingi na hawala ndo habari ya mjini
 
jamani juzi kati nilikuwa saloon fulani ya kike mara akaingia dada mmoja akkaanza kumwadithia mwenziye.... hee shoga mwenzangu nimenuniwa huko si nimekosea kutuma meseji ya hawara wangu nikamtumia bwana angu, sasa mimi nashindwa kuelewa hivi ni sifa mtu kuwa na hawara halafu unajisifia mbele za watu bila aibu? tulizana tuko wangapi?:angry::A S cry:

Mpango wa kando mhimu unasaidia kuimarisha ndoa, figa moja haliinjiki chungu
 
Ni sifa sana tu. Mbona wanaume wanajisifia kuwa na nyumba ndogo? Huoni babangu Mtambuzi alisema hajawahi kucheat wakamshangaa kama katoka mwezini.
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kutafuta kila leo ukakosa milele, hipo siku utapata!
 
mwanamke wa kileo awe na kidume mmoja ni ajabu...lazima agegedwe na wawili na kuendelea....so kawaida tuu mbona.
 
Hata miye hapa nimerewa (isomeke nimelewa) kwani kwa bibi dada mtuma ujumbe kuna tofauti kati ya bwana yake na hawara yake? au alitaka kusema mumewe?

bwana yake unamaanisha mumewe au naye ni hawala ila hawala namba 1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom