Muhindi aliyesilimishwa!!!!

Muhindi mmoja
alisilimishwa na Sheikh akamwambia kila unapokula usisahau kupiga
Bismillah la sivyo utakuwa unakula na shetani,basi yule muhindi kuna
kipindi akajisahau kupiga Bismillah kwa miezi kama miwili hivi,basi
shetani akamfuata Sheikh akamwambia mkumbushe muhindi kupiga Bismillah
kwa sababu ataniua kwa pilipili

Haa ha ha mkuu xafi xana.
 
Muhindi mmoja alisilimishwa na Sheikh akamwambia kila unapokula usisahau kupiga Bismillah la sivyo utakuwa unakula na shetani,basi yule muhindi kuna kipindi akajisahau kupiga Bismillah kwa miezi kama miwili hivi,basi shetani akamfuata Sheikh akamwambia mkumbushe muhindi kupiga Bismillah kwa sababu ataniua kwa pilipili
nimejaribu kucheka ila wapi
 
Ndio Nyie wajinga wachache mnaotaka kutuletea matatizo watanzania na hizi dini zenu za kukaririshwa na kuletewa na watu weupe,sijui mkoje...natamani ningewachuja wadini wote nchi hii tukae kwa amani sisi wabantu.

ungekuwa unamaanisha ulichokiandika hata jamii forums usingejiunga coz internet imeletwa na weupe, in short everything too good or moderate bad comes from whites
 
Kwa hiyo inabidi kila msosi tule na pilipili huenda shetani ana vidonda vya tumbo ... hahahahahah!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom