Habari mwl.
Mimi natafuta mwl wa kubadilishana nae niko chalinze maeneo ya mdaula shule mdaula sec nije upande wa bagamoyo kerege sec au zinga sec au shule ilipo barabara ya kwenda bagamoyo kupitia bunju.... Kama upo ni pm
Hallo wa jf ninajogoo wangu machotara na wakubwa wenye afya wanuzwa 17000/= lakini pia bei inapungunzwa na kwale ambao wanahitaji kuanzia wawili tunaelewana kwa bei poa.. napatikana tabata segerea. Tuwasiliane 0718336163.
Hallo wa jf ninajogoo wangu machotara na wakubwa wenye afya wanuzwa elfi 19000/= lakini pia bei inapungunzwa na kwale ambao wanahitaji wengi tunaelewana kwa bei poa.. napatikana tabata segerea. NB. Kama hupo mbali ukiitaji kuanzia kumi nakufikishia ulipo
Tuwasiliane kwa 0718336163.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.