Recent content by Capsicum

  1. Capsicum

    JamiiForums Tanzania Ukraine Serikali yapendekeza Mataifa kususia Mafuta ya Urusi, yasema 'Vita iwalishe'

    kuna kipindi russia walikua wanatest internet yao ambayo ni tofauti na tunayoitumia duniani kwa sasa na hii ilikua ni kujiandaa. Kwa kifupi Russia walishaforecast kila fitna watazofanyiwa baada ya kuivamia ukraine, yaani wamejiandaa kwa kila nyanja. Kuna sehem niliona wana 650Billion Usd kwenye...
  2. Capsicum

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sielewi ninapendwa kweli au nafanyiwa maigizo

    Unajua maana ya PLATONIC FRIENDSHIP! ni pale mwanamke anakua na urafiki na wewe uliopitiliza ila sio wa kimapenzi, why!? Just incase huko aliko akipigwa chini fasta anajua pa kukimbilia.
  3. Capsicum

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara hii yenye utajiri

    Kwamba bwana wewe unataka kusafirisha mitumba na tecno kutoka bongo kwenda ughaibuni!? Hili nalo linaweza kua ajabu la dunia.
  4. Capsicum

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mulikeni mchakato wa ajira za TPDC uliosimamiwa na TAESA

    -------------------- UPDATES ------------------------ Kwanza nitoe shukrani kwa taasisi yetu ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) kwa kulifanyia kazi hili suala. Ni matumaini yangu kua kuna kitu wamebaini katika mchakato wa hizi ajira ndio maana kuna candidate mmoja mkataba wake...
  5. Capsicum

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mulikeni mchakato wa ajira za TPDC uliosimamiwa na TAESA

    TAKUKURU ndio wataenda kupata ufafanuzi sehemu husika
  6. Capsicum

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mulikeni mchakato wa ajira za TPDC uliosimamiwa na TAESA

    Straight to the point. TAKUKURU hebu kwa heshima na taadhima nawaomba mkafuatilie huu mchakato jinsi ulivyofanyika maana una viashiria vya RUSHWA ndani yake, kwanini nasema hivi:- 1) Hakukua na tangazo la ajira publicly watu waliitwa kwa kupigiwa simu kwenda kufanya usaili. 2) Baada ya usaili...
  7. Capsicum

    JamiiForums Tanzania Umemsave jina gani?

    tukiwa fresh namsave ZUCHU SUKARI akiniletea upimbi wa kulala studio hadi asubuhi namsave ZUHURA OTHMAN SOUD...
  8. Capsicum

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atua Washington DC Marekani kuhudhuria Mikutano kuhusu Demokrasia na hali ya Siasa

    upumbavu wa kiwango cha lami
  9. Capsicum

    JamiiForums Tanzania Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

    mkuu umefanya siku yangu iishe vizuri, nimecheka sana wallah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. Capsicum

    JamiiForums Tanzania Wape neno dereva na utingo wake

    R.I.P
  11. Capsicum

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson kumlilia Hayati Magufuli kila ifikapo tarehe 17

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2956][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
  12. Capsicum

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson kumlilia Hayati Magufuli kila ifikapo tarehe 17

    akifikiria kwamba 2025 hakuna wakumbeba anaishia kulikumbuka JIWE
  13. Capsicum

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa zamani, Basil Pesambili Mramba afariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19

    R.I.P ngoja tuendelee kula nyasi..
Back
Top Bottom