Dkt Guston
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 105
- 110
- Thread starter
- #21
Lengo la thread sijui hujalielewaHiyo namba yasimu mbona halaka sana, unaweza ukawa unamsaidia wazo mtu ukimpigia tu wewe ndo unaenda kutapeliwa kuweni makini
Lengo la thread sijui hujalielewaHiyo namba yasimu mbona halaka sana, unaweza ukawa unamsaidia wazo mtu ukimpigia tu wewe ndo unaenda kutapeliwa kuweni makini
Kuwa mpole usaidiwe acha ujuaji....kwanza una stress hao wazungu utawauziaje?Haya pita HIV
Sipendagi upumbavu,hujui nacho kifanya,hujui biashara yang hafu unaongea upumbavu tu,kama huna cha kuchangia kun thread nying tu ungeenda kuchangia
kwamba bwana wewe unataka kusafirisha mitumba na tecno kutoka bongo kwenda ughaibuni!? Hili nalo linaweza kua ajabu la dunia.
unatoa nguo bongo unapeleka mamtoni?
Kaa kwa kutulia...
Nafikilihaiwezekanikusafilishahizobiashalazako....
Kama unaagiza bidhaa China, UK, Canada inafika sembuse itoke Tanzania iende hukoKaa kwa kutulia...
Nafikilihaiwezekanikusafilishahizobiashalazako....
Asantemkuu pambania wacheki wakenya watakupa connection,ila nadhani export huwa inabagua aina ya bidhaa...
Kama unaagiza bidhaa China,UK,Canada inafika sembuse itike Tanzania iende huko
Kuuliza sio ujinga; Snakebite ndio bidhaa gani mkuu?Snakebite, mobile accessories, nguo,sendors,nk
Usiwe na panic hivi kweli usafirishe sm toka tz kwenda Canada😂😂😂Haya pita HIV
Sipendagi upumbavu,hujui nacho kifanya,hujui biashara yang hafu unaongea upumbavu tu,kama huna cha kuchangia kun thread nying tu ungeenda kuchangia
Wabongo vitu Kama hamvijui muwe mnakaa kimya.unatoa nguo bongo unapeleka mamtoni?
Hivi unajua bongo kuna kiwanda cha jeans kinauza nguo zake mamtoni tuu, yaan for export only?unatoa nguo bongo unapeleka mamtoni?
Hawajui mtu anaweza weka kiwanda bongo kwa ajili ya man power na target ya soko ikawa nje ni ngumu Sana kutoboa ukiwasikiliza wabongo.Hivi unajua bongo kuna kiwanda cha jeans kinauza nguo zake mamtoni tuu, yaan for export only?
Ndio inawezekana.. na inafanyika hadi kesho.Inategemea na aina ya nguo
Mkuu usafirishe mobile accessories toka TZ to US? Una utani.Snakebite, mobile accessories, nguo,sendors,nk