Speaking of ku underestimate uwezo wa Kendrick wa Kurap na Kuandika, sijawah mchukulia poa au kuhisi kuwa ha deserve kuwa hapo alipo. Kendrick ana vitu vyake hadimu sana ukiviskia unakuna kichwa mf. "Hi Power, Money trees, Sing about me" na zingine kali, sema hii style yake ya kubadilika kwenye...