Wakuu hawa jamaa ni wakali wa muziki hapa kwetu Tanzania. Hawa jamaa pia ni wakali wa kutupia pamba kali zinazowapendeza. Wewe binafsi kura yako utampa nani kati ya Jux Vuitton na Diamond Platnumz kwenye kutupia pamba kali?
Wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani?
Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa. Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua...
Samahani wakuu, nahtaji msaada kutoka kwa yeyote anayezielewa Ofisi na ikiwezekana hata nikapata na anuani halisi za posta za ofisi ya Dr Mengi wa IPP Media. Nimejaribu kuuliza kwa jamaa kadhaa wengine wanasema zipo PPF Tower na wengine wanasema zipo Haidary Plaza ila za PPF Tower ni idara ya...
Sheria za Umoja wa Mataifa na pia Mkataba wa Vienna wa masuala ya kidiplomasia na uhusiano wa kimataifa vinakataza mabalozi wote wanaoziwakilisha nchi zao katka nchi za kigeni kujihusisha na siasa za nchi husika. Balozi wa China hapa nchini Tanzania kwake yeye ni tofauti baada ya kupanda katka...
Wakuu samahani nahtaji msaada. Nataka kununua smartphone nzuri na ya bei ya kati kuanzia laki 3 na nusu mpaka laki 5. Ni aina gani nzuri na ya kisasa ambayo itakuwa na teknolojia nyingi na za kisasa za mawasiliano kama whatsapp na nyngnezo?
Pia yenye internet nzuri na inayofunguka fasta...
Mwaka 1992 asilimia 20 ya waTZ walikubali vyama ving na asilimia 80 walikataa mfumo wa vyama ving ila kwa busara za JK Nyerere aliwashauri watawala kusoma nyakati na kukubali vyama ving japo watawala hawakupenda na asilimia 80 ya wananch kwa kutojua umuhmu wa vyama ving na kutopewa elimu ya...
Wakuu habari za ndani kutoka UVCCM zinasema kuna mvutano wa kimahesabu kufuatia makabidhiano ya kiungozi katka ofisi ya Katibu Mkuu.
Katika mahesabu yanayoendelea kukokotelewa ili Sixtus Mapunda apewe ofisi rasmi inasemekana zaidi ya Mil 600 za umoja huo zilizokuwa katika akaunti za benki...
Mkuu St.Apolinary tunachokifanya hapa c kumchagua mwenyekiti. Wanaochagua ni CC na wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema. Tunachokfanya ni kuwachambua tu na kumjua nan anatufaa sisi wanachama na nani hatufai na kwa hoja tu za msing bila kumchafua mtu. Sasa we umekurupuka kama vle tumeweka sanduku...
Wakuu kumekuwa na maongezi ya chini kwa chin vijiwen kuwa Zitto atagombea nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa.
Vikao rasmi havijaweka wazi kuhusu uchaguzi na wanaotajwa hawajathibitisha kugombea ama kutogombea, pia mwenyekiti wa sasa Mh Mbowe hajatamka kama atagombea tena au la.
Ikitokea...
Jamani katka kongamano la kimataifa la New Ideas pale Salzburg nchini Austria, wahudhuriaji walikadiriwa kufkia 200 ambapo weng wao walikuwa mawaziri na wawakilishi wa ikulu mbalimbali duniani. JK ni mmoja wa wahudhuriaji katka mkutano ule na ndiye raisi wa nchi peke yake aliyehudhuria lakin...
sheria na kanuni za kufanya hvyo znatofautiana kulingana na chuo husika. So nenda kwanza chuon ujue sheria zao. Kwa UDSM ni lazma vgezo au perfomance ilyokufanya uchagulie koz hyo ni lazma imeet na perfomance au vgezo wanavyovitaka katka koz unayotaka kuhamia na pia iwe unahama withn the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.