Msaada please: Ni Smartphone ya aina gani nzuri na ya bei ya kati?

Msaada please: Ni Smartphone ya aina gani nzuri na ya bei ya kati?

cape town

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
40
Reaction score
42
Wakuu samahani nahtaji msaada. Nataka kununua smartphone nzuri na ya bei ya kati kuanzia laki 3 na nusu mpaka laki 5. Ni aina gani nzuri na ya kisasa ambayo itakuwa na teknolojia nyingi na za kisasa za mawasiliano kama whatsapp na nyngnezo?

Pia yenye internet nzuri na inayofunguka fasta? Jamani nahtaji msaada wenu wa mawazo ili niweze kununua simu hyo nikiwa na uelewa niendapo dukani.

Na pia kwa hapa Dar ni duka gani au dealer yupi nitakapoweza kupata smartphone hyo ambapo wana uaminifu nisije nikapewa used au kimeo?

Nahtaji msaada wakuu kwa yeyote mwenye uelewa wa masuala ya smartphone na teknolojia zake mpya za mawasiliano.
 
Ungetupia kule tech&gadgets ingekuwa poa zaidi.
 
kama huna matumizi makubwa sana na simu nakushauri chukua LG Nexus 4 for that price ni one of the best options
 
kama huna matumizi makubwa sana na simu nakushauri chukua LG Nexus 4 for that price ni one of the best options

mkuu naona spec zake kali, bei inasimamaje hapa tz?
 
Back
Top Bottom