Kakajambaz si lazima uchangie.waweza pita
kiroho safi. Kizungu chenyewe ujui eti BUDDLE!!
Si useme tu kifurushi..
dada ulieandika hii u made ma day!!!!!!!
hahahahahaha
mapenz km hayo si ya kwl n anakupendea pesa zako
xo bro.kuwa makin san ht km ukiamua kutft kimwn sawa huyo lzm um.chane ili.ajione mjinga......
ila waschn most of them ndo hvy tamaa ya pesa . ....
unahitaji maombi ya nguvu. n mtanfulize Mungu kwny maisha yako yote.hiyo sio hali ya kawaida
jaribu ku.spnd tym na mke wako na punguza mawasiliano na huyo MCHEPUKO. bdksh kila kitu kwny maisha yk n mshirikishe mkeo kwny maisha yako zaid i mean as ongeza UPENDO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.