X wako akifanya ivi ana maanisha nini?

X wako akifanya ivi ana maanisha nini?

kwanza sipendi mtu yeyote kuniita ex wala mimi kamwe siwezi kumwita ex, nikishawalk away it means I reach the point of no return.

sipendi kabisa haya majina ya ex.

PRE-ALERT WARNING...!!!
CC:lara 1
 
Kakajambaz si lazima uchangie.waweza pita
kiroho safi. Kizungu chenyewe ujui eti BUDDLE!!
Si useme tu kifurushi..
dada ulieandika hii u made ma day!!!!!!!
hahahahahaha
 
Hili swali ni la kipuuzi sijawahi kuona. Mods embu futeni huu ujinga..
 
Back
Top Bottom