Iphone ndio simu ya mkononi ghali zaidi duniani

Ni kweli ila huyo china anatengeneza bidhaa na anauza us so sio kila cha mchina fake
 
Ni kweli Mkuu, Blackberry Porsche Design P'9982 inauzwa zaidi ya dola 2,000. Hata hivyo nayo ni cha mtoto kwa Vertu ambayo ilikuwa ni subsidiary ya Nokia kabla hawajaiuza. Simu za Vertu huanzia Dola 5,000 - 85,000. Kuna moja niliiona pale Mlimani City kwenye duka la Voda ilikuwa inauzwa Tshs 30,000,000.
Hebu soma hapa kwanza Vertu

TypeDivision
IndustryLuxury goods, Telecommunications
Founded1998
Founder(s)Nokia
HeadquartersChurch Crookham, Hampshire, England, United Kingdom
Area servedWorldwide
Key peopleMassimiliano Pogliani (Chief Executive Officer)
ProductsLuxury mobile phones
Employees1000
ParentEQT VI and Nokia
WebsiteVertu.com

A Vertu Signature phone in stainless steel
Vertu is a British manufacturer and retailer of luxury mobile phones established by Finnish mobile-phone manufacturer Nokia as a wholly owned subsidiary in 1998. In October 2012 Nokia sold Vertu to private equity group EQT VI for an unspecified amount,[1] (rumoured to be $200 million),[2] but will retain a 10% share.[3] By the end of 2013, 350,000 phones had been sold, and phones were on sale in 500 retail outlets, including 70 run by the company.[4] The phones are comparatively underpowered technically and most popular in Russia, Asia and the Middle East.[5]
 
M30 labda km hiyo simu ni ya dhahabu na ina papuchi ya kujisevia.
 
View attachment 167244

Kwa kujibu jarida la richest imethibitisha kwamba simu za mkononi za iphone Ndio simu maarufu na ghali zaidi duniani ulaya marekani ni 90% ya watu utumia simu hizi, hii tofauti na africa ni 0.01% ndio wanaotumia simu hizi, imeelezwa umaarufu wake unatokana na mfumo wake wa ios ambapo kirusi chochote akiwezi kuiathiri , pia jarida hilo zimetaja simu zingine za mikononi kama blackberry, samsung , zikifatia kwa karibu.

Kuna vitu viwili tunachanganya habari hapa..
1.brand iliyo expensive
2.simu iliyo expensive
simu inaweza kua ya gharama kutokana na nakshi nakshi iliyowekewa km hiyo attachment yako inavyoonesha.
 
Hebu soma hapa kwanza Vertu

TypeDivision
IndustryLuxury goods, Telecommunications
Founded1998
Founder(s)Nokia
HeadquartersChurch Crookham, Hampshire, England, United Kingdom
Area servedWorldwide
Key peopleMassimiliano Pogliani (Chief Executive Officer)
ProductsLuxury mobile phones
Employees1000
ParentEQT VI and Nokia
WebsiteVertu.com

A Vertu Signature phone in stainless steel
Vertu is a British manufacturer and retailer of luxury mobile phones established by Finnish mobile-phone manufacturer Nokia as a wholly owned subsidiary in 1998. In October 2012 Nokia sold Vertu to private equity group EQT VI for an unspecified amount,[1] (rumoured to be $200 million),[2] but will retain a 10% share.[3] By the end of 2013, 350,000 phones had been sold, and phones were on sale in 500 retail outlets, including 70 run by the company.[4] The phones are comparatively underpowered technically and most popular in Russia, Asia and the Middle East.[5]

Mkuu hayo uliyoandika yote nayajua, point yako ni nini?
 
Too much of anything is harmfuL..uongo umeuzdsha mpaka umetoka nje ya ukweli!

Sent from my iPhone4 using JamiiForums

Mbona huo uongo wangu hujausema Mkuu? Nina uhakika na nilichokiandika. Kama kitu hukijui bora unyamaze au uulize.
 
Back
Top Bottom